Wana jf, hivi juzi tu ndio nilitoka visiwa vya Ukerewe. Kuna kazi maalum ilinipeleka nyumba kwa nyumba(japo baathi tu). Cha kushangaza sana ni kuwakuta wanawake na wanaume wanaoga bila ya aibu yeyote .mfano nilikua navuka Nansio fery nikawakuta wanaume na wanawake wanaoga kwa pamoja bila ya aibu. Pili nikaenda tena kijiji cha Buhima Nikamkuta mwanamke anaoga njiani kwenye kamto yuko uchi wa mnyama. Please ndugu zangu sio utu wala heshima na kamwe siwaungi mkono. Nitafurahi sana mkibadilika. Asanteni sana