Habari zenu ndugu zangu.
Wapendwa jambo hili limenifanya nikose raha cku ya leo (8.3.2013).
Majira ya saa saba mchana nilimpigia supervisor wangu simu kujua yuko wapi ili nimpatie kazi yangu ya research. cm ilipokelewa na mtu ambae ckumjua nikashangaa nikamsalimia baada ya salamu nikamuuliza wewe ni Dr.....akasema hapana, nikamjibu wrong number nikakata! nikacheki namba niliyopiga ni kweli ya dr! nikacall tena akapokea dr akanambia anakuja nimsubiri.
Loh wandugu, baada ya kama nusu saa hv nikaanza kupata message za mapenzi kutoka kwa yule mtu niliekosea namba akinitaja jina langu na kusema ananipenda, mara mungu katukutanisha, mara tuonane..n.k Nimemjibu mm mke wa mtu pia nina watoto, jamaa hasikii ananipigia cm mfululizo. Kwa sasa mume wangu kasafiri, naombeni msaada wa mawazo nifanyaje?