Sikuwa hewani....nilikuwa bize na mgeni wangu!
Kwa wote mliokuwa mnafutilia issue ya mgeni wangu kutoka km 1000 kuja dar ijumaa jioni ! Ni hivi kama walivyoshauri wengi nilimpokea mimi na mke wangu !
Tumempeleka kariakoo na maeneo mengine ya shopping !
Ila jana ameniambia anataka aje ofisini kwangu jumatatu ana mazungumzo binafsi! Haya aliniambia mama watoto akiwa jikoni!
Mchana mwema!

Reply With Quote