wewe ni muaminifu? Wanaume hawakupendi!!

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,243
Kwa miongo kadhaa nimekuwa kwenye mahusiano (Siyo Mapenzi) na uzowefu nilioupata ni mkubwa sana na kwa sehemu natumia JF kushirikisha wengine. Kwa ujuzi wangu kwenye mahusiano kati ya Mwanamke na Mwanaume mitizamo ya kuanzisha, kuendeleza na au hatimaye kuhitimisha mahusiano inatofautiana sana.

Wakati wanawake Uaminifu wa wenza wao ni jambo kuu na la msingi, kwa wanaume wanapenda sana kuwa na wanawake wenye uaminifu wa kiasi lakini walio watiifu. Wanaume utiifu ni jambo kubwa sana kuliko uaminifu na ndiyo maana hata kama mwanamke hana uhusiano na mtu mwingine na mwanaume wake akahisi labda mwanamke huyo si mtiifu kwake, ni rahisi kutoka nje kwenda kutembea na Kahaba(Bar maid?) hata kama anajua kwamba Kahaba huyo ana msururu mrefu wa wanaume wengine.

Wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake ambao wanaonekana waaminifu (Innocent) sana ni wanawake hatari sana na wachinichini na watu wasio na ladha kwenye uhusiano. Kuonyesha kwamba mwanamke hajawahi kuwa na uhusiano na mtu mwingine na ni mpenziwe tu ndiye aliye naye na hana mpango wa kuwa na mahusiano na mtu mwingine hata aliye naye akiondoka, ni uaminifu unaokera WANAUME!!
 
Kigarama!!umetutoa kwenye kulipia sasa umetuleta huku tena!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani nimechoka kwa leo, hii story ni fupi sana lakini sijaipata vema, naahidi kurudi baadaye.
 
Kuna watu wanauogopa ukweli, ni lazima tuwafundishe kuumeza hata kama ni mchungu kiasi gani. Wewe unapenda mwanamke "mtakatifu"?
mkuu mimi sina formula ili mradi asiingie kwenye anga zangu!!mambo mengine tutakutana home kivyetu!
 
Hebu niambie y ukereke na mke mtakatifu? fafanua mkuu.
 
Wanaume kwa kawaida si waaminifu na ni watu ambao kwa wiki ni lazima atongoze mwanamke mwingine hata kama aliye naye ni mzuri kupindukia, kwa hiyo akikuta mpenziwe anajifanya atokewi na wanaume wengine anaanza kuona anaongopewa!!
 
Dah! dunia ya sasa inaelekea wapi, cjui! Kuna mtu mzima hv ktk maongezi aliwahi kuniuliza ushawahi kutoka nje ya ndoa mara ngapi? nikamjibu cjawahi. Akasema haiwezekani. Daima mzinifu huwa haamini kuwa kuna waaminifu.
 
Kwa maana nyingine huyo mtu mzima anaamini mpenziwe ni muaminifu. Kama kweli mwenzie ni muaminifu na akawa anataka kuonyesha uaminifu wake atapendwa na mtu mzima huyo??
 
so basically mwanaume ataenda nje regardless na wanawake will never be "good enough" to avert this. huoni kama unasema matatizo ya ndoa husababishwa na men
 
so basically mwanaume ataenda nje regardless na hakuna chochote wanawake will never be "good enough" to avert this. huoni kama unasema matatizo ya ndoa husababishwa na men

i thought that was a simple logic!
 
Kwa miongo kadhaa nimekuwa kwenye mahusiano (Siyo Mapenzi) na uzowefu nilioupata ni mkubwa sana na kwa sehemu natumia JF kushirikisha wengine. Kwa ujuzi wangu kwenye mahusiano kati ya Mwanamke na Mwanaume mitizamo ya kuanzisha, kuendeleza na au hatimaye kuhitimisha mahusiano inatofautiana sana.

Wakati wanawake Uaminifu wa wenza wao ni jambo kuu na la msingi, kwa wanaume wanapenda sana kuwa na wanawake wenye uaminifu wa kiasi lakini walio watiifu. Wanaume utiifu ni jambo kubwa sana kuliko uaminifu na ndiyo maana hata kama mwanamke hana uhusiano na mtu mwingine na mwanaume wake akahisi labda mwanamke huyo si mtiifu kwake, ni rahisi kutoka nje kwenda kutembea na Kahaba(Bar maid?) hata kama anajua kwamba Kahaba huyo ana msururu mrefu wa wanaume wengine.

Wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake ambao wanaonekana waaminifu (Innocent) sana ni wanawake hatari sana na wachinichini na watu wasio na ladha kwenye uhusiano. Kuonyesha kwamba mwanamke hajawahi kuwa na uhusiano na mtu mwingine na ni mpenziwe tu ndiye aliye naye na hana mpango wa kuwa na mahusiano na mtu mwingine hata aliye naye akiondoka, ni uaminifu unaokera WANAUME!!

Short & Clear tuseme kupata mwanaume/mwanamke mtiifu(mwaminifu) ni jambo lakumshukuru MUNGU.
 
mmmmh mume wangu au mpendhi kila kitu namjibu ndiyo boss,ndiyo baby au ndiyo baba fulani hakuna kuask kwanini imekuwa hivyo mbona utakuwa utumwa sasa,ni nini kipimo cha utakatifu!!!!!!!!!!
 
Kwa miongo kadhaa nimekuwa kwenye mahusiano (Siyo Mapenzi) na uzowefu nilioupata ni mkubwa sana na kwa sehemu natumia JF kushirikisha wengine. Kwa ujuzi wangu kwenye mahusiano kati ya Mwanamke na Mwanaume mitizamo ya kuanzisha, kuendeleza na au hatimaye kuhitimisha mahusiano inatofautiana sana.

Wakati wanawake Uaminifu wa wenza wao ni jambo kuu na la msingi, kwa wanaume wanapenda sana kuwa na wanawake wenye uaminifu wa kiasi lakini walio watiifu. Wanaume utiifu ni jambo kubwa sana kuliko uaminifu na ndiyo maana hata kama mwanamke hana uhusiano na mtu mwingine na mwanaume wake akahisi labda mwanamke huyo si mtiifu kwake, ni rahisi kutoka nje kwenda kutembea na Kahaba(Bar maid?) hata kama anajua kwamba Kahaba huyo ana msururu mrefu wa wanaume wengine.

Wanaume wengi wanaamini kwamba wanawake ambao wanaonekana waaminifu (Innocent) sana ni wanawake hatari sana na wachinichini na watu wasio na ladha kwenye uhusiano. Kuonyesha kwamba mwanamke hajawahi kuwa na uhusiano na mtu mwingine na ni mpenziwe tu ndiye aliye naye na hana mpango wa kuwa na mahusiano na mtu mwingine hata aliye naye akiondoka, ni uaminifu unaokera WANAUME!!

Hapo juu nilipobold nimepasoma mara mbili mbili ili nipate concept vizuri lakini sijafanikiwa. Suala la mwanaume kupenda wanawake watiifu ni la kweli, ila Najiuliza swali la kipuuzi, ina maana kama Mke wangu ni mtiifu lakini si Mwaminifu, maana yake sintajali hali yake ya kutokuwa mwaminifu na kuridhika na umapepe wake kwa kigezo tu kuwa ni mtiifu? Kama nimemuelewa mtoa mada, na kama jibu ni ndiyo, mimi ni mwanaume ambaye principle hii haifanyi kazi kwangu!
 
hapo umenena vzr mkuu
 
Sijui ni wanaume wa wapi hao "wengi" lakini siwezi kujipongeza eti kwa kuwa mke wangu ni kicheche halafu ni mtiifu
'
Hivi kutii si pamoja na kutokuwa kicheche?Kama nimekuambia usiwe kicheche halafu ukawa kicheche umenitii vipi hapo?
'
Halafu kuwa mke bora ni zaidi ya utii,haya mambo sijui umeyatoa wapi,na kama wapo wanaume wa dizain hiyo na wakawa wengi,nadhani watakuwa wametoka sayari ya mars
'
Kwangu mimi mke wangu anatakiwa awe zaidi ya hapo
'
Maskini Jeuri!
 
Mia %%%%%%%%%%%%%%.
hapo juu nilipobold nimepasoma mara mbili mbili ili nipate concept vizuri lakini sijafanikiwa. Suala la mwanaume kupenda wanawake watiifu ni la kweli, ila najiuliza swali la kipuuzi, ina maana kama mke wangu ni mtiifu lakini si mwaminifu, maana yake sintajali hali yake ya kutokuwa mwaminifu na kuridhika na umapepe wake kwa kigezo tu kuwa ni mtiifu? Kama nimemuelewa mtoa mada, na kama jibu ni ndiyo, mimi ni mwanaume ambaye principle hii haifanyi kazi kwangu!
 
Back
Top Bottom