I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini...
Hamjambo waungwana wangu
Mwenzenu leo sasa nimeingia kwa kupindapinda na kunyooka kiasi
Ishu niliyoingia nayo leo ni khusu hawa ndugu, marafiki, makaka na
mababa zetu kiujumla sitaki kuwaita...
Bandugu nna hakika mko poa sana,, pamoja na majanga ya kitaifa yanayotupata... maisha lazima yasonge..
Naomba tusaidiane hii kitu:
Jamaa alikuwa anasafiri,, wakati anapack, mahabuba wake (mkewe)...
Hellow JF, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest...
Siku hizi kuna idadi kubwa sana ya madada wenye vitambi (siyo mimba).Ni bia za OFA hizo. Asilimia kubwa ya madada hawa ni hatari kwa kupenda OFA za bia.
Aisee wanakunywa bia haoooo....che che che...
1.The Whispers- And The Beat Goes On
2.Prince- When Doves Cry
3. New Order- Blue Monday
4.Salt n Pepa- Push It
5.Bon Jovi- Living On a Prayer
6.Michael Jackson- Billie Jean
7. Run DMC and...
As far as stereotypes go, a wandering eye and the urge to jump into bed with multiple partners seems to be built into a man's DNA, but when it comes to cheating, the sexes are created more equally...
Wanawake wenzangu msijirahisishe kwa wale age yangu mnamo 20 someni sana maisha yanavoelekea sasa tofauti na watoishi wazazi wetu. Wanaume hawako serious wala msimamo kwa ajili yako.
{Kisa chenye kusisimua}
Maisha kati ya wanandoa ni maisha yanayo hitaji ikhlashwi na ukweli toka
moyoni na subra ya hali ya juu,
... na yatakiwa kila mmoja kati ya wanandoa awe tayali kwa lolote...
Ni kweli kuwa sio jambo jema kwa mabinti kung'ang'ania mashugadadi na kuwatosa wachumba ambao wana nia ya kuwaoa
On the other hand, nashindwa kuwalaumu baadhi ya mabinti ambao ugumu wa maisha ya...
Rafiki yangu mmoja ana miaka takriban ishirini kwenye ndoa ya kikristo. Hakuwahi kupata mtoto kwenye ndoa yake. Baada ya kukaa kwenye ndoa miaka kumi na mitatu, akakutana na dada mmoja muislamu...
waleo sijui wamekuwaje hawana mapenzi ya kweli
waleo sjui wamekuwaje wa poteza dira kwa mapenzi ya kwenye vidoe
waleo sjui wamekuaje wana kuwa na muonekano feki kuanzia nywele,nyusi midomo...
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya...
L ove + Care = Mother
Love + Fear = Father
Love + Help = Sister
Love + Fight = Brother
Love + Life = Wife / Husband
Love+Care+Fear+Help+Fight+Life = Friends
Pitapita yangu leo nimekutana na matangazo mawili yanayofanana:
La kwanza likiwa limeandikwa hivi...
"SUPER MAPENZI MVUTO - ni dawa ya mvuto wa mapenzi, humvuta mume, mke, mchumba au mpenzi...
Ukitaka Kubadilika Badilisha Pia Mfumo Unaotumia Kuwasiliana Na Watu, Jifunze Kuwasiliana Vizur Na Watu. Kila Siku
Tafuta Nani Umjue Na Nani Uwasiliane Vizur, Hata Kusema Asante, ni kitu kikubwa...
Kijana wa kitz hapa,natafuta mwanamke awe mpenzi wangu na baadae awe mke wangu,umri wangu ni miaka 29,umri wa nimtakae ni kuanzia 18 hadi 40,nina mtoto mmoja wa miaka 7,dini yoyote mradi tuelewane...
Hbari zenu wanajamii forum kuna rafiki yangu mmoja yupo katika wakati mgumu sana baada ya x wa boyfriend wake kugoma kukubali matokeo kwamba wameachana kwani mdada analazimisha kuendelea na...
Binti huyu namtafuta nilipotezana nae mwaka 2011 udom baada ya kuhitimu masomo plz kwa anayeweza nipatia contact zake anipe kupitia hapa au number 0657371095 yeye ni mwenyeji wa mbeya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.