Wanawake wenzangu msijirahisishe kwa wale age yangu mnamo 20 someni sana maisha yanavoelekea sasa tofauti na watoishi wazazi wetu. Wanaume hawako serious wala msimamo kwa ajili yako.
I know mwisho wa siku utaolewa ila jambo muhimu ni kusoma iseeee mzabzab hamuna huruma wanaume japo sie tunachukiana ila tunahuruma
Bidodo hebu usijimix hapa! Jitambue kwanza! Kisha fanya mambo yako. We, men and women are only human!
Wanawake wenzangu msijirahisishe kwa wale age yangu mnamo 20 someni sana maisha yanavoelekea sasa tofauti na watoishi wazazi wetu. Wanaume hawako serious wala msimamo kwa ajili yako.
and pwenti of addition kuna wanawake na girls!
au sio hivyo mamdogo?
NAULIZA TU!