Ukitaka Kubadilika... Badilika tabia

Ukitaka Kubadilika... Badilika tabia

kineng'esi

Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
56
Reaction score
15
Ukitaka Kubadilika Badilisha Pia Mfumo Unaotumia Kuwasiliana Na Watu, Jifunze Kuwasiliana Vizur Na Watu. Kila Siku

Tafuta Nani Umjue Na Nani Uwasiliane Vizur, Hata Kusema Asante, ni kitu kikubwa sana kujifunza Ukiwa Na Mfumo mzuri

Utabadili Dunia Yako Na Kuwa Vile Unatamani Uwe. Kwa Kawaida Kila Binadamu Anakitu Kizur, Ili Mradi Ni Mwanadamu Hai.


Iaminike kwamba mungu hajaleta takataka duniani. Ukiambiwa huna lolot si sahihi ilmradi ni wewe ni mwanadamu uzur upo

tu, Penda Kushirikiana na wale wanaoamini strengh zako usihau kujua udhaifu wako ndio njia na kuelekea katika maisha

mazuri kwako na kwa watu wengine pia.


Ukiona huwezi kufanya kitu ingia ujifunze, pambana, mungu hajatuleta duniani tupoteze muda na kufarakana, ametuleta

tufanye kazi, tuvumbue tuishi kisayansi kufanya dunia sehemu salama.
 
Back
Top Bottom