afya ya uzazi

afya ya uzazi

jodah

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
5
Reaction score
0
naomba kama kuna m2 anajua mwanamke ambaye siku zake za kupata hedhi zinabadilika badilika anaweza kupata mimba siku zipi?
 
uwezekano ni siku yoyote kati ya siku ya 7 baada ya kuanza hedhi mpaka ya 20... Baada ya siku ya ishirini hapati mimba..
 
Back
Top Bottom