nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,859
- 4,873
Bandugu nna hakika mko poa sana,, pamoja na majanga ya kitaifa yanayotupata... maisha lazima yasonge..
Naomba tusaidiane hii kitu:
Jamaa alikuwa anasafiri,, wakati anapack, mahabuba wake (mkewe) akaja na bashasha kibao za kimahaba,, akamwambia.. mpenzi najua unasafiri... wiki 2 sio chache,,, icase ikatokea "DHARURA", chukua hii kitu itakusaidia.. akamkabidhi paketi za umbrella... C.O.N,,, za kumtosha... jamaa alitaharuki then kwa kupotezea akamshukuru mkewe kwa jinsi anavyomjali....
Jamaa kapack fresh,, wakati anafunga mlango wa gari... mkewe kaja mbio,,, sorry honey... nimesahau nikakupa zote... jamaa kauliza nini...kondomu....naomba na mm chache incase "DHARURA" ikitokea niwe salama....
Jamaa hakuwa na jibu zaidi ya kuduwaaa...
Sasa wana jamii wenzangu..hiyo iko vipi...jamaa alitegwa na akategeka au mkewe alikuwa anajali afya zao?
Nawasilisha hoja: