Subra kati ya wanandoa

Subra kati ya wanandoa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
{Kisa chenye kusisimua}

Maisha kati ya wanandoa ni maisha yanayo hitaji ikhlashwi na ukweli toka
moyoni na subra ya hali ya juu,
... na yatakiwa kila mmoja kati ya wanandoa awe tayali kwa lolote litakalo tokea.

Fikra zake zisielekee ya kwamba maisha siku zote yatakuwa ni raha tu na kula
nyama ya bata{kama wasemavyo vijana}.

Na wala asije akafikiri ya kwamba tatizo lolote likijitokeza basi suluhisho lake
huwa ni talaka.La hasha !!!

Utaacha wanawake wangapi/utaachika na wanaume wangapi? ni lini utakuwa
na familia yenye kutengamaa?

Huyu unae muacha kutokana na mtihani miongoni mwa mitihani ya dunia
angelikuwa ni mama yako,binti yako,dada yako,shangazi yako ungefurahi
kuachika kwake?????

Salim ni Mualgeria mwenye umri wa miaka 40.Kazi yake ni mlinzi wa shule.

Amepata shughuli ya kumbeba mkewe mabegani mwake usiku na mchana
kutokana na maradhi aliyo yapata mkewe na kupalalaizi mwili mzima
tokea miaka mitano iliyo pita.

Gazeti la Shuruki la Kialgeria linasema ya kwamba: wanandoa hao
walioana tokea mwaka 1996,na mpaka hivi sasa wanamtoto mmoja.

Waliishi maisha ya raha na starehe mpaka ilipofikia mwaka 2007,
ndipo mkewe huyo alipo palalaizi.

Tokea muda huo,bwana Salim amekua akiwalea mkewe na mwanae.
Ameakuwa akiamka asubuhi mapema kabisa,anasafisha nyumba
anaandaa chai kisha anakwenda kazini.

Baada ya muda wa kazi anarudi nyumbani mapema,
anaandaa chakula na kumlisha mkewe,kwani mkewe
hawezi japo kushika kijiko.
Baada ya kumlisha chakula anamnywesha dawa.

Usiku amekuwa akiamka zaidi ya mara moja kwa ajili
ya kumgeuza mkewe kutoka upavu moja kuhamia ubavu mwingine.

Hivi ndivyo wanavyokuwa wanandoa wa kweli.
Na ukisikia uanamume huu ndio uanamume.





 
Unconditional love. Dunia mapito hujui ya kesho
Hata ukipata shida nitakuwepo
Chochote kitokee lakini nauthamini uwepo wako

Na tumlee mwanetu maana huo ni upepo
Utapita tu mbona ya zama hayapo
Nakupenda sana nauthamini uwepo wako.
 
we unatufunga kudu great thinkers mchana kweupe hahahahaha sijakuspy mpendwa kuwa free nilitaka upunguze:lying:

Mimi sikusoma st Kayumba
shule niliosoma kulikuwa na bed time story in english
so niliisoma yote fast...ila we hauwezi amini
st Kayumba kusoma English article lazima mnye maji kwanza lol
 
we mjaze bichwa mwenzio,am watching you:yo::yo::yo:

Nilikuwa najaribu kusoma katikati ya mstari nikagundua kalamu iliyoandika ina wino mwekundu ndipo nikafikri
kwa sauti................
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
 
Namuona tu
asije nianzishia thread bure ya ku propose lol
siku hizi wada wana propose pia lol

hahaha ajabu na kweli,kukupropose ww si ni kutafuta presha za ujanani,mara mia nibaki single.
 
Nilikuwa najaribu kusoma katikati ya mstari nikagundua kalamu iliyoandika ina wino mwekundu ndipo nikafikri
kwa sauti................
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
ww ndo unamchochea ibilisi na mawazo ya kishetwain huyo mdingi wa nn sasa,hebu subiri i think unajipigia debe kivice versa:A S 39::A S 39:
 
Namuona tu
asije nianzishia thread bure ya ku propose lol
siku hizi wada wana propose pia lol

Na usije kushangaa Thread ina kichwa cha habari "I HATE THE BOSS" Halafu contents inazungumza habari
kama haina mwisho hivi.........Baada ya siku mbili unatupiwa PM IMEANDIKWA "The Boss am so sorry i didnt mean
to hurt you, it is just like something cross my mind and i dont know what to do"..........................!

Mpaka hapo utaamua kama Biskuti uvunje kwa nyundo ama vidole tu!! :smile-big: :smile-big: :smile-big:
 
ww ndo unamchochea ibilisi na mawazo ya kishetwain huyo mdingi wa nn sasa,hebu subiri i think unajipigia debe kivice versa:A S 39::A S 39:

Yaani kwa sisi tuliokulia Uswazi halafu tukapita pita kwenye Vikozi vya hapa na pale halafu
tukajaribu kuyasoma hayo maneno huku tukiwa tumevua miwani tunasema "The deal done" :censored:
:censored: :censored:
 
Na usije kushangaa Thread ina kichwa cha habari "I HATE THE BOSS" Halafu contents inazungumza habari
kama haina mwisho hivi.........Baada ya siku mbili unatupiwa PM IMEANDIKWA "The Boss am so sorry i didnt mean
to hurt you, it is just like something cross my mind and i dont know what to do"..........................!

Mpaka hapo utaamua kama Biskuti uvunje kwa nyundo ama vidole tu!! :smile-big: :smile-big: :smile-big:

duh we jidanganye danganye danganye tuu
 
Back
Top Bottom