Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nahtaj mwenza wa maisha, kwa ajili ya ndoa na familia. Wasifu wangu; 32 yrs elimu chuo kikuu mwajiliwa Sifa za ninayemhitaji; age 23~30 elimu kwanzia kidato cha nne mzuri wa sura na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tulipishana na mke wangu siku moja tukagombezana mimi nikajua yameisha lkn baadae nikakuta ameyaandika yale mambo yote niliyokuwa nikiyatamka na kuyatunza ndani ya sanduku lake pia kaongeza hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
,nimejit0keza kwenye jukwaa hili kwa leng0 m0ja tu,,natafuta mwanamke wa ku0a,..wasifu wake awe mweupe/maji ya kunde,mmpenda maendele0 ..awe anamcha mungu kwa dini y0y0te ile.,asiwe mnene sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wapendwa habari, Jamani kichwa cha habari chajieleza, kwa wale waliokua wapenzi na wafatiliaji wa kipindi hiki chini ya mahost wa ukwee lara1 na zinduna naombeni mnijuze wot hapened kwa hiki...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ningependa kuwa na rafiki wa karibu (sio wa kimapenzi) ambae naweza kumwamini kwa kila jambo langu, kama unakidhi vitu vifuatavyo naomba uniPM 1. Sichagui jinsia jina dini kabila...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani duniani kunawatu wana rohu nzuri kuliko hata Fedha. Moyo na ujasiri alio nionyesha huyu dada sikutegemea kama kuna watu wa stile hii hapa duniani. Nimsichana mrembo aliye umbika istoshe...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaotegemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali kimapenzi, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa...
9 Reactions
64 Replies
13K Views
baada ya kupewa taarifa na watu kuwa bw Omari(jina halisi) anamtafunia mke wake, jamaa akaanza mitego kuwanasa. na taarifa akaipeleka kwa mjumbe. juzi anaingia nyumbani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu WanaJF, Heshima kwenu mabibi na mabwana . Kwa heshima na taadhima nimshukuru MUNGU kwa kutukutanisha kupitiamtandao huu. JF Arusha tulikuwa na kikao siku ya Ijumaa tarehe 05.04.2013 Chini ya...
55 Reactions
233 Replies
14K Views
ndugu wana MMU; kwanza niwashukuru kwa maoni mitazamo na ushaur wenu juu ya uzi nilio utoa siku chache zilizopita. Baada ya kupitia maoni mengi nikaamua kutumia kaujanja kidogo ili niupate...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Poleni wana JF na majukumu ya kila siku. Nimerudi tena kwa muendelezo wa ile kesi,nisiwachoshe sana lakin hali iliyofikia ni kutishiwa aman kabisa kwa ujumbe mfupi wa maaandishi kupitia simu...
7 Reactions
63 Replies
6K Views
Sio kwamba nabagua ila ndio nimeona sahihi zaid. Ni kwamba mimi n me aged 23 na 2015 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini woteee! Natambua hili swali linahusika sana JF doctor venue. Lakini naomba niulize hapa MMU kwakua nahitaji kumtoa mtu kwenye mawazo mabaya haraka mno na katika hali ya kawaida jf doctor...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nyinyi mnaonaje hili swala na Ulisikiaje ulivyotoa Mahari .
0 Reactions
29 Replies
3K Views
leo ni siku ya tano baada ya ovulation yangu,nilifanya unprotected sex lakini kama siku 1 au mbili zilizo pita matiti yangu yanauma uma kama vile nataka kubleed,ila tarehe zangu za mp ni kuanzia...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
NINA MCHUMba MBENA HASOMeKI Ka bIsa,
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Wanawake wenzangu, hii ndiyo dawa ya wanaume wanaojifanya "chovya chovya". Akiwagonganisha, badala ya kupigana na kutoana manundu, mnywesheni hii dawa na hatarudia tena. Angalia video ifuatayo:-
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Check out these tips to keep your lips looking good and healthy; 1. Drink, Drink, Drink Consuming at least 9 cups of fluids daily will keep your body, skin, and lips hydrated. 2. Go Easy...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman jaman wana JF mwenzenu nimenasa naomba msaada sijui nina nini mimi,ndo hivo umri unanitupa mkono nakaribia miaka 35 sasa sijampata hata aliyewahi kunitangazia ndoa,cha ajabu kila anayelala...
0 Reactions
108 Replies
12K Views
Back
Top Bottom