Tuwakomesheni Wanaume Wanaojifanya "Chovya Chovya"

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,201
Wanawake wenzangu, hii ndiyo dawa ya wanaume wanaojifanya "chovya chovya". Akiwagonganisha, badala ya kupigana na kutoana manundu, mnywesheni hii dawa na hatarudia tena. Angalia video ifuatayo:-
 
jamaa hana shida hata akipata kipigo, ili mradi kehawatoboa wote yaani burudaaaaaaani
 
Wanawake wenzangu, hii ndiyo dawa ya wanaume wanaojifanya "chovya chovya". Akiwagonganisha, badala ya kupigana na kutoana manundu, mnywesheni hii dawa na hatarudia tena. Angalia video ifuatayo:-
MMhhh
haya bwana,sasa kama jamaa ni handsome ndo utaewza kumpiga?japo umemmmaindi jamaa na fedha anazo na hutaki kumpoteza na unahisi unaibiwa na mwenzako......?
 
Hiki kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa hawa akina mama, kimenipa fundisho na tahadhari kuwa nianze kutembea na jambia kila ninapokwenda kwenye "mizunguko yangu isiyokuwa rasmi". Sikubali kabisa kusubulubiwa hivi wakati wao wenyewe wamenipa mbunye zao kwa hiari.
 
He! Utakuwa umejiandaa kwenda kufanya mapenzi au kwenda vitani? Na huyo atakayekukubalia na jambia lako atakuwa shujaa sana.
 
Mkuu Binti.com kuna moja uliweka ya kukatwa nani hiii...ile...nahiiii..!!
Mkuu Bhululu ile ya kukatwa nani hiii.. nimekuja kugundua kwamba ni ya kikatili sana. Dawa ni kumpa kisago cha mbwa mwizi kama huyu anayepewa hapa kwenye video ili asichezee akili za wanawake.
 
kwanza huyo sio chovya chovya...chovya chocvya original has one simple rule: hit once and be out never to return again....ataisoma namba
 
Kwa kweli ile ilinishtua sana,hii ya kisago ni nzuri kiasi,inaweza kupunguza,maana napo inategemeana na uimara wa huyo mwanamme.Akiwa fit watajuta kuzaliwa.
 
huyo jamaa amelewa au akatumia madawa ya kulevya utapigwaje na wanawake kiasi kama hicho bila hata kuchukua hatu kali juu yao ikiwezekana kutembeza kipigo kitakatifu kwao
 
kwanza huyo sio chovya chovya...chovya chocvya original has one simple rule: hit once and be out never to return again....ataisoma namba
Naona mkuu umesahau kwamba siku hizi za mwizi ni 5 na si arobaini tena kama zamani. Hiyo hit once na kunaswa ni hapo hapo then kinafuatia kipondo!
 
hahaha hiyo haiwezekani becoz women aint that smart ikija maswala ya kugegedana....to show u how unsmart they are ona tunavyowala kabang!!!
 
Mkuu Bhululu ile ya kukatwa nani hiii.. nimekuja kugundua kwamba ni ya kikatili sana. Dawa ni kumpa kisago cha mbwa mwizi kama huyu anayepewa hapa kwenye video ili asichezee akili za wanawake.
wanawake tulivo mamburula ni kupigana tu.mi jamaa yangu nilimfumania na demu mmoja mi nikasepa zangu yule dada akajibakisha pale..ptuuuu tokea hapo nilishamuona na wanawake wengine zaidi ya kumi.yule dada siku moja akanitafuta akaniambia i wish ningekuwa na moyo kama wako cause jamaa utulivu 0 hadi alimtapeli m 5 na kukimbia akakimbia
 
Hakuna ujinga mkubwa kama kupigana na mwanamke mwenzio mkatoana mangeu bure wakati na yeye ametafutwa kama wewe. Mkifanya hivyo mnamfanya mwanaume ajione wa maana na wa thamani kubwa sana. Dawa ni ninyi wawili kushirikiana na kumpa kipondo halafu baada ya hapo wote mnaachana naye kabisa.
 
yap mi sijui kushare wala kupigania kwa kweli mi najua kusepa tu
 
Back
Top Bottom