Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zang mie nashdwa elewa nimtambue vp mpenz ambae anamapenz yakweli coz haxomeki mara leo kanuna kesho kacheka mwenzangu ukimwambia kwajins unavoitaji hakuelewi nashdwa hata nifanye nn bola...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
In marriage, both the man and the woman have the same rights. Even the law prescribes that a married woman shall have the same right as a man. And this is widely taken to mean right to property...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nawahi sana kupiga bao wakati kudo.nimejaribu wakati mwingine kuhamisha mawazo lakini wapi!wataalamu nipewe mbinu ili nichelewe hata 15 minutes
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Every night? Once a month? Or somewhere in the middle? Science has its say Some men are fine with the amount of sex they get and some think they should be getting a whole lot more. A few men even...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Hali hii nikeishuhudia leo majira ya saa 9 hivi mi nilikua naendesha daladala nilisimama katka kituo fulani nashusha abiria wakati natoa gari katika kituo nilimuona muendesha baskeli anakuja kwa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
I'm jeremiah from tanzania mimi nina swali jaman kama kuna mtu anaweza kunisaidia anisaidi lakin kwa wale wote wenye udhoefu na mapenz...hivi dem akiwa bikra kila ki2 kwake anakuwa hajui alafu...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Nikaanza uhusiano nae nilikuwa kicheche sana hapo kabla bt nilipokuwa nae nikaacha na toka hapo sikuwai kutoka nje ya mahusiano nikanunua viwanja vitatu hapa dar na mashamba kadhaa mkoani...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hi! I'm a man, tall white, looking for a good girlfriend, i mean in term of habit not othrws, and with any age though am 27 yrs nw bt who satsified ur wellcome, try to check me on 0655601779 or...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
katika familia yetu tupo wawili tu watoto wa kiume. Kaka yangu ninaye mfuata ameoa tena kwa harusi kubwa ,ndoa yao ime dumu kwa muda wa miaka mi tatu sasa bila ya mikwaruzano yeyote. Hivi karibuni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
HAS YOUR CHILD COME BETWEEN YOU AND YOUR WIFE? "Ideally, parents should not share beds with their children, but if they do, I advise parents to move their children to a separate bed as early...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani zamani ilikuwa wanasingizia tumbo linauma... Ila siku hizi wanajifanya kujichelewesha sebuleni kwenye tamthiliya na watoto ili wakija wakute baba umesinzia... wanakuja kimyaaaaa, wakinyata...
9 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari za leo wanajf! Waswahili wanasema penda unapopendwa, asiyekupenda achana naye! Nilipokuwa naanza chuo nilikuwa na msichana X ambaye tulikuwa na uhusiano kimapenzi yeye akiwa form five...
4 Reactions
51 Replies
8K Views
Wakuu salaam sana. Hebu tutafakari pamoja juu ya kupenda /kujali wengine. (Mke/Mume,Mchumba,Marafiki,majirani etc) Nianze na kusema, Ni vigumu sana kumpenda mtu mwingine kama hujipendi mwenyewe...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna dhana kwamba wanawake walioajiriwa wanakabiliwa na mazingira ambayo yanawalazimisha kuingia kwenye vitendo vya kutoka nje ya ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ambao hawajaajiriwa hususani...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
:A S-heart-2::A S-heart-2:.................... Its all about love, he came, we shake hands, we smile, we go for juice and lunch togather............ We talk, we hug........., and ear...
13 Reactions
314 Replies
22K Views
Hi nihistolia yangu kwa ufupi natafuta gal wakuchat nae nakubadilishana nae mawazo kwa yeyote alie tayali anaweza kuni in box. Haijalish umli wala rang kikubwa jiheshim.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamke mwenzangu ukiyaona haya, stuka mapema. Usije ukasema sikukwambia 1. Utaambiwa safari za kikazi za kila mara 2. Mikutano kazini inayofanyika hadi baada ya muda rasmi wa kazi kila...
5 Reactions
61 Replies
12K Views
Mimi ni kijana umri wangu ni 25 miaka ni mrefu naishi Dar es salaam natafuta mwanamke mtu mzima for relationship awe na umri usiopungua miaka 50,mwenyemuonekano safi na asiwe tegemezi.Nipo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! The past few days i was soo negative, im tryin to change and look things from the positive side. Just tryin to add some positivity and optimism in ma life...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja wa nchini India ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa aliutoboa uke wa mkewe na kuufunga kwa kufuli kila alipokuwa akimuacha peke yake huku funguo za kufuli hilo akitembea nazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom