Natafuta mchumba/mke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba/mke

Discussion in 'Love Connect' started by nur, Mar 31, 2012.

 1. n

  nur Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ,nimejit0keza kwenye jukwaa hili kwa leng0 m0ja tu,,natafuta mwanamke wa ku0a,..wasifu wake awe mweupe/maji ya kunde,mmpenda maendele0 ..awe anamcha mungu kwa dini y0y0te ile.,asiwe mnene sana wala mwembamba sana,elimu kidat0 cha 4.na kuendelea,umri kati ya miaka 23-31,hata kama ana mt0t0 ila awe mmja si0 mbaya,pia akiwa mrefu si tatiz0.
  mimi elimu yangu kidat0 cha sita situmii kilevi ch0ch0te, umri wangu miaka 32..nina mt0t0,kim0 changu[ft5.3] kwayey0te alie tayari tuwasiliane kupita email;kasebelenuru@yahoo.com..simu 0753082524/0784567432..tafadhali mimi nimendika nikiwa kweli na maanisha na si0 utani..hivy0 napenda mtu anae maanisha pia. na pia niko chuo mwaka wa tatu. Muhula wa sita 6/7/2013 nitamaliza. Natamani sana mpaka nitakapo maliza chuo niwe tayari ni kwenye mipango ya maisha. Hivyo ukifiti nitafute na tukikubaliana tupange maisha.
   
 2. n

  nur Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nashukuru sana kwa wale w0te amba0 nimewasliana nanyi kwa njia ya simu na pia sms kwenye simu..bad0 naendele kusikiliza ushauri wenu,mawaz0 yenu,busara zenu..kwa muda mfupi amba0 nimejiunga huku nimepata shule pia.na nime0na jamii f0rum ni elimu t0sha kabisaya maisha mbarikiwe.tuendelee kuwasiliana tu kwa njia y0y0te inay0wezekana.
   
 3. n

  nur Member

  #3
  Apr 22, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  bado naendelea kutafuta.
   
 4. m

  masalapa Senior Member

  #4
  Apr 22, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  GT wamekushitukia hakuna muoaji hapo, wewe unatafuta demu wa kupiga basi! Kwani huko unakosoma huwaoni? And by the way, Chuo gani hicho unachosoma wewe? Eti "na pia niko chuo mwaka wa tatu. Muhula wa sita 6/7/2013 nitamaliza", ndio kitu gani hicho? Kawadanganye huko Uswahilini kwenu!
   
 5. N

  Nanji Member

  #5
  Apr 22, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaa duuu!!!!
   
Loading...