Nampenda huyu mwanamke kuliko chochote hapa duniani!!

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama alitupigania kwa kila hali,iwe ni wakati wa shida au wa raha akutuacha hata cku moja.

Kila siku najiona nina wajibu wa kumfanya awe na furaha kila siku,sipendi kumkwaza huyu mwanamke jaman,nampenda kuliko wanawake wote duniani,leo asubuhi na mapema nimempigia cm nikagundua kuwa hapatikani nikahisi yuko church, nikajiskia vibaya sana mana nilikuwa na hamu ya kumwambie nampenda na nathamini mchango wake, baadae nikampigia nikampata nikamwambia nampenda sana na nashukuru kwa yote aliyonitendea toka utoto wangu hadi nilipofika sasa.pia nikamwambia ninammic sana mana yuko mkoa mwingine na mimi niko mkoa mwingine mbali,Kwa kweli mama yangu amefurahi sana kupita kiasi nilipomweleza.

jamani nampenda sana mama yangu kuliko chochote na pia nauthamini sana mchango wake,sipendi kumuona katika hali ya uhuzi hata siku moja na hata cm sipendi anipigie ila napenda kuwa wa kwanza kumpigia kabla hajapiga,imefikia mahali siwezi kupitisha hata cku mbili bila kumpigia mana nisipompigia cku mbili lazima atanipigia na kuuliza unaumwa?

Napenda kuwashauri wana jamvi wenzangu tuwe na tabia ya ku appreciate michango ya wazazi wetu au walezi wetu hata kama hatuna chochote cha kuwapa tukisema asante tu inatosha kuwafanya wawe happy na wazidi kutupenda zaidi!

Nawasilisha!
 
Hongera saana missa kwa kutambua umuhimu wa mamako... Do take care of her always. She deserves. Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa..........mi nawapenda na kuwathamini wanawake wote wanaojiheshimu na kujitambua kama my mom.
 
wewe ndo umelijua hilo leo... pole sana..
 
mimisa dear, u never told us you have a twin.
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa..........mi nawapenda na kuwathamini wanawake wote wanaojiheshimu na kujitambua kama my mom.

Hongera pia kwa kumthamini mama yako pamoja na wa mama wanaojiheshimu humu duniani,congrats !
 
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama alitupigania kwa kila hali,iwe ni wakati wa shida au wa raha akutuacha hata cku moja.

Kila siku najiona nina wajibu wa kumfanya awe na furaha kila siku,sipendi kumkwaza huyu mwanamke jaman,nampenda kuliko wanawake wote duniani,leo asubuhi na mapema nimempigia cm nikagundua kuwa hapatikani nikahisi yuko church, nikajiskia vibaya sana mana nilikuwa na hamu ya kumwambie nampenda na nathamini mchango wake, baadae nikampigia nikampata nikamwambia nampenda sana na nashukuru kwa yote aliyonitendea toka utoto wangu hadi nilipofika sasa.pia nikamwambia ninammic sana mana yuko mkoa mwingine na mimi niko mkoa mwingine mbali,Kwa kweli mama yangu amefurahi sana kupita kiasi nilipomweleza.

jamani nampenda sana mama yangu kuliko chochote na pia nauthamini sana mchango wake,sipendi kumuona katika hali ya uhuzi hata siku moja na hata cm sipendi anipigie ila napenda kuwa wa kwanza kumpigia kabla hajapiga,imefikia mahali siwezi kupitisha hata cku mbili bila kumpigia mana nisipompigia cku mbili lazima atanipigia na kuuliza unaumwa?

Napenda kuwashauri wana jamvi wenzangu tuwe na tabia ya ku appreciate michango ya wazazi wetu au walezi wetu hata kama hatuna chochote cha kuwapa tukisema asante tu inatosha kuwafanya wawe happy na wazidi kutupenda zaidi!

Nawasilisha!

kwa hili naungana na ww 100%;uziwako unanifanya machozi yanilenge lenge nikimkumbuka mama yangu maana yuko mbali sana na upeo wa machoyangu,nikirudi likizo huwa ananipokea na tunalia sana kwa furaha maana ni muda mrefu tunakuwa hatuja onana

NAKUPENDA SANA MAMAYANGU BASILISA....
Mungu akujalie maisha marefu na afya tele!
 
Umenikumbusha mama yangu pia, nimemtafuta tokaa ijumaa hapatikani, nilikosa raha sana but leo nimeongea nae leo nimefurahije.....SHE IS MY HERO AND MY LIFE
 
i thank god for this woman-mom,
she sacrifice a lot for us-to the point i ask if i could be a mom someday...will i sacrifice the same as her,no i cant be a mom i think ni wito lol:yo:
 
kwa hili naungana na ww 100%;uziwako unanifanya machozi yanilenge lenge nikimkumbuka mama yangu maana yuko mbali sana na upeo wa machoyangu,nikirudi likizo huwa ananipokea na tunalia sana kwa furaha maana ni muda mrefu tunakuwa hatuja onana

NAKUPENDA SANA MAMAYANGU BASILISA....
Mungu akujalie maisha marefu na afya tele!

Jamani hongera sana!hata mimi huwa tukikutana na mama yangu sometimes huwa tunalia pamoja na akijua niko safarini narudi home huwa ananipikia my favourite food yeye mwenyewe na sometimes huwa ananibeba mgongoni hatua kadhaa kwa furaha, big up for all who loves and cares their mom!na kama alishatangulia ni kumuombea tu mungu amlaze pema peponi wajamani!hakuna kama mama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
umenikumbusha mama yangu pia, nimemtafuta tokaa ijumaa hapatikani, nilikosa raha sana but leo nimeongea nae leo nimefurahije.....she is my hero and my life

for real most of moms are hero,i agree with u!
 
i thank god for this woman-mom,
she sacrifice a lot for us-to the point i ask if i could be a mom someday...will i sacrifice the same as her,no i cant be a mom i think ni wito lol:yo:

hata mi huwa najiuliza hivi ni kipaji au ni nini mungu amewawekea wa mama?sipati majibu kama kweli naweza kumfikia kiwango mama yangu au ntakua namuigiza?
 
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama alitupigania kwa kila hali,iwe ni wakati wa shida au wa raha akutuacha hata cku moja.

Kila siku najiona nina wajibu wa kumfanya awe na furaha kila siku,sipendi kumkwaza huyu mwanamke jaman,nampenda kuliko wanawake wote duniani,leo asubuhi na mapema nimempigia cm nikagundua kuwa hapatikani nikahisi yuko church, nikajiskia vibaya sana mana nilikuwa na hamu ya kumwambie nampenda na nathamini mchango wake, baadae nikampigia nikampata nikamwambia nampenda sana na nashukuru kwa yote aliyonitendea toka utoto wangu hadi nilipofika sasa.pia nikamwambia ninammic sana mana yuko mkoa mwingine na mimi niko mkoa mwingine mbali,Kwa kweli mama yangu amefurahi sana kupita kiasi nilipomweleza.

jamani nampenda sana mama yangu kuliko chochote na pia nauthamini sana mchango wake,sipendi kumuona katika hali ya uhuzi hata siku moja na hata cm sipendi anipigie ila napenda kuwa wa kwanza kumpigia kabla hajapiga,imefikia mahali siwezi kupitisha hata cku mbili bila kumpigia mana nisipompigia cku mbili lazima atanipigia na kuuliza unaumwa?

Napenda kuwashauri wana jamvi wenzangu tuwe na tabia ya ku appreciate michango ya wazazi wetu au walezi wetu hata kama hatuna chochote cha kuwapa tukisema asante tu inatosha kuwafanya wawe happy na wazidi kutupenda zaidi!

Nawasilisha!

Hongera nimekuja fasta fsata nikazani umewekeza moyo wako kwa hawa mabwana zetu wa kibongo a.k.a pasua kichwaz
 
hata mi huwa najiuliza hivi ni kipaji au ni nini mungu amewawekea wa mama?sipati majibu kama kweli naweza kumfikia kiwango mama yangu au ntakua namuigiza?

Natumai utakuwa mama mzuri zaidi ya mama yako maana unao mfano wa kuiga...
 
Back
Top Bottom