sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 868
baada ya kupewa taarifa na watu kuwa bw Omari(jina halisi) anamtafunia mke wake, jamaa akaanza mitego kuwanasa. na taarifa akaipeleka kwa mjumbe.
juzi anaingia nyumbani akakuta mkewe anaongea na simu, kilichomshangaza ni kukata simu haraka alikofanya mkewe. jamaa akatulia mkewe alipoiweka simu kwa ajili ya kumuandalia chakula jamaa, jamaa akaichukua simu na kutafuta namba iliyokua ikiongea na mkewe. kuipiga tu Omari akajibu upande wa pili kwa mbwembwe akijua ni mwanamke.
jamaa akuonyesha kuhamaki akaongea naye vizuri , kisha akamuomba wakutane kwa mjumbe kuna jambo linawatatiza yeye Omari atakuwa mfumbuzi. basi wakakubaliana na wakakutana kweli. kwa mjumbe hali ikawa tete Omari kawa mkali utafikiri yeye ndiye mwenye mke, jamaa kuona hivyo uvumilivu ukamshinda zikaanguka ngumi nzito.
kwa mumbe hawakosekani watu, wakaingilia kati wakawaamua. Omari anatamba ( hunifanyi kitu wewe ----- na mkeo ndio nimemtafuna mshamba weee...!!) ndipo jamaa alipotoa hayo hayo maneno hapo juu.
KWA ASILI HUYU OMARI WENYEJI WOOOTE WA MTAANI WANAMFAHAMU , NA HANA RAFIKI. KWA TABIA YA KENDA WAKE ZA WATU ANA WADADA WA KAZI. ANAVIZIAGA WAGENIWAHAMIAJI, ANAWAZOEA KWA NGUVU KUMBE ANA LAKE JAMBO.