Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naombeni ushauri... Nimechoka kuishi peke yangu natamani nipate mwanaume tuanzishe familia .... lakini kila anaenifwata moyo wangu unamkataa maana bado nampenda my x ambae aliniacha wakati bado...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani Mimi ni mwanamke Mtu mzima,najiheshimu,nimeshamaliza purukushani za dunia ,sasa nataka mwanaume Mtu mzima wa kumaliza nae,awe mweusi,mfupi,kabila na dini yeyote,pia ajitume wakati wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
When the woman’s face is revealed to the camera, however, we see that she is beautiful by human standards, but, to our surprise, when the camera turns to reveal the faces of doctors and nurses, we...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari za mapumziko ya wkend.... huwa kuna kitu najiuliza sipati majibu,huwa napata majibu mepesi tuuu ambayo huwa nayasahau kwasababu ya wepesi wake.... Hivi Kwanini mwanaume anapokutana na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salamu kwenu MMU, Ni binti mtanzania, ninavuta sigara tangia nilipomaliza tu high school hadi leo nimemaliza chuo nimeajiriwa mahali. Kazi yangu inaniweka busy sana kiasi napatikana mjini kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
naomba kukaribishwa
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, poleni na majukum ya mwisho wa wiki, mimi ni baba wa familia ya watoto wawili, ni hivi majuzi tu nilidondosha uzi hapa jamvini kwa kutaka ushauri wenu nashukuru kwa walionipa...
1 Reactions
84 Replies
8K Views
leo asubuhi nimeona ushuhuda mmoja toka emmanuel tv huyu mama yupo 48 kwa sasa alipatwa na tatizo la kukojoa kitandani since yupo miaka 10. kaishi na hilo tatizo kwa mateso mengi sasa akaolewa...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Ni jambo la kawaida kwa marafiki walioshibana kutambulishana wapenzi wao. Mara kadhaa, rafiki yako au ndugu yako anaweza kukutambulisha kwa mtu wake na baadaye kukuliza, unaonaje.. unadhani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia habari na mengi yahusuyo jamiiforums, kiukweli, nkaipenda na nkaomba kuwa mwanachama.. Kwa Hilo nashukuru na ntafurahi kupata new friends. .
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli? Pole kwa jamaa zangu wenye wake na wachumba chuoni; haimaanishi wote ni wachakachuaji lakini asilimia kubwa mnaibiwa!
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Huwa zinaanza maisha vizuri sana. Hasa wakati mtoto wa kwanza anapozaliwa – wakati huo baba na mama wanapendana sana na huyo first born huwa analelewa kama princess/prince. First born huwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama ulikua unataka utume mesej kwa g.f. Au b.f afu hiyo siku ndo ile yenyewe tuseme ukamtumia mesej kama hii "njoo nyumbani haraka tulaliane naskia barid" mh bahat mbaya imeenda kwa mzaz utafanya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Aisee nakumbuka enzi niko secondary na chuo nilikuwa natamani sana kutongoza. Lakini cha ajabu ilikuwa nashindwa kuanza, na nilipojitutumua basi tena hadi jasho linakuwa linanitoka (kwa hofu)...
0 Reactions
73 Replies
13K Views
Imepita 4 months tangu niseme it's over to my boyfriend... na nimekuwa nikijisikia furaha ya ajabu hadi najishangaa...kwani uhusiano wetu ulijawa na humiliations nyingi kutoka kwake ambazo...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Just because your phone rings every Friday evenings and he takes you to the best clubs and hotels in town and later to his bed, just because you hop in and out of jeeps, range rovers&#8230...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Haya mapenzi yameniwia magum naumizwa hisia ninavyo mwanamke wangu anakua na ukaribu sana na wanaume.siku nikamkuta anakumbatiana na mvulana nikamuuliza Mama vipi?jibu samahani nikala kimya maisha...
1 Reactions
77 Replies
6K Views
Salama wana MMU.Sorry kwa kuwachosha, MKE AU MUME SIO BIDHAA UNAYO WEZA KUIPATA SUPERMARKET AU SOKO MJINGA,CHUKUA HATUA KAMA UNANIA NA SIMAMIA MISINGI YA MAISHA YAKO BADALA YA KUTANGULIZA...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta girlfrend kweli nipo real, jaman mi kijana wa kitanzania nlie mpweke natafuta wa kuntoa upweke jaman, haya sifa awe mkaz wa arusha au mosh...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
habaini wana jf.Naomba ushauri wenu mimi ni kijana wa miaka 26 imetokea nimependwa na msichana ambae ni mchumba wa mtu ambae tayari alikua ameshatolewa mahali na nipo nae kwa miaka 3 sasa tangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom