monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Wadau habari za mapumziko ya wkend....
huwa kuna kitu najiuliza sipati majibu,huwa napata majibu mepesi tuuu ambayo huwa nayasahau kwasababu ya wepesi wake....
Hivi Kwanini mwanaume anapokutana na mwanamke siku za mwanzoni wanavaa Condomu?
1.Ina maana hawaaminiani?
kama HAWAAMINIANI sawa, kwanini wasiende kupima Kwanza?
Wanakuja kwenda kupima baada ya Ku DO?
2.kama anajua/anahisi mwenzake anatatizo kwanini anafanya nae?
Jibu labda amezidiwa/kashikwa na ashki sana,sawa
Je ukiambiwa na kuthibitisha mtu anaekutongoza ana ugonjwa,kwa nini Condomu haikumbukwi tena Mtu anasepa?