Mahusiano ya wanachuo

Mahusiano ya wanachuo

Platos

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
42
Reaction score
39
Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli?

Pole kwa jamaa zangu wenye wake na wachumba chuoni; haimaanishi wote ni wachakachuaji lakini asilimia kubwa mnaibiwa!
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! Mambo ya chuo tuachie wanachuo! Chezeya mi theory ile, bila kazi na dawa lazima bichwa li bust!!!!! Haswaaaaa kwa sie wa COET!!!!!!!!!

Inaitwa stress releaver!!!!!!!!!!!!!

Basi juzi juzi wakati natoka nikamfuma Ticha (Noma mshkaji wangu umezidisha) wetu live live kampakia denti mwenzetu (Kiluzi hakuna mfano), mida ya saa mbili usiku wakatokomea kusiko julikana! Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Banda hilo wazi wazi kiulaini. Afu ticha ana Mke!!!!!! Mxiuuuuuuuuuu!!!!!

Kuna denti mwengine anajiachia na ticha mwengine (atleast ticha huyu yuko single) sasa akanipa THE INSIDE STORY! kuwa Ticha mwepesi tu kwenye uwanja wa fundi seremala, hajui kitu, $$$$$$$$$##########%%%%%%%% (More Nasty and Tacky details) Basi tokea niipate hio inside story lile somo Nafeli tu, kama laana vile! Ticha na mafundisho yake yote nimeyashusha hadhi!

Ila twende mbele turudi nyuma Ma Ticha na Wanafunzi wote binadamu!
 
Wapo wanaopendana kiukweli. Kama wewe ni mwizi ukiona mtu anatembea taratibu unahisi ananyata.
 
Wapo ambao wanafikia malengo ila wengi wanamegwa na kuachwa na inatokana na sababu mbalimbali
Kwa wanaojiheshimu they can't do such a thing
Usiwatishe wenye wenzi wao huko vyuoni.
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! Mambo ya chuo tuachie wanachuo! Chezeya mi theory ile, bila kazi na dawa lazima bichwa li bust!!!!! Haswaaaaa kwa sie wa COET!!!!!!!!!

Inaitwa stress releaver!!!!!!!!!!!!!

Basi juzi juzi wakati natoka nikamfuma Ticha (Noma mshkaji wangu umezidisha) wetu live live kampakia denti mwenzetu (Kiluzi hakuna mfano), mida ya saa mbili usiku wakatokomea kusiko julikana! Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Banda hilo wazi wazi kiulaini. Afu ticha ana Mke!!!!!! Mxiuuuuuuuuuu!!!!!

Kuna denti mwengine anajiachia na ticha mwengine (atleast ticha huyu yuko single) sasa akanipa THE INSIDE STORY! kuwa Ticha mwepesi tu kwenye uwanja wa fundi seremala, hajui kitu, $$$$$$$$$##########%%%%%%%% (More Nasty and Tacky details) Basi tokea niipate hio inside story lile somo Nafeli tu, kama laana vile! Ticha na mafundisho yake yote nimeyashusha hadhi!

Ila twende mbele turudi nyuma Ma Ticha na Wanafunzi wote binadamu!

Apo sasa umebalance,,,
 
msitupe pleasure bana......c wengine tuna! wachumba bana...
 
halafu kitaaa kuwa na demu chuo dili
ki advance level kuwa na men chuo dili hapo sasa
 
Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli?

Pole kwa jamaa zangu wenye wake na wachumba chuoni; haimaanishi wote ni wachakachuaji lakini asilimia kubwa mnaibiwa!
Chuo demu lazima.Wakati naingia first year cha kwanza niltafuta demu kwanza wa kunitoa uchovu wa kitaa. na ndo nnaye mpaka leo.
 
leta ushahidi wa madai yako. Mbona ndoa zinafungwa sana baada ya watu kumaliza masomo.
Kugegedwa hata mtaani kupo. Ndoa majaliwa bwana.

mmmh! I mic u dear, utakuja lini jamani?
 
Wapo ambao wanafikia malengo ila wengi wanamegwa na kuachwa na inatokana na sababu mbalimbali
Kwa wanaojiheshimu they can't do such a thing
Usiwatishe wenye wenzi wao huko vyuoni.
Ni kweli sio wote, ila kuna wengine wanatisha kwa mchezo huu.
Ukiwaona siku ya graduation wanavyowapokea wapendwa wao, utafikiri hawakugegedwa na colleagues wakiwa chuoni.
 
msitupe pleasure bana......c wengine tuna! wachumba bana...
Kila mchumba akifika chuoni, kutongozwa ni jambo la kawaida.sasa inategemea na yeye mwenyewe.
Kuna wengine wanasema wako single, wanakubali kuingia kwenye mapenzi, wanagegedana mpaka wanamaliza chuo.
siku ya graduation ndiyo mume mtu anatokea, tena anakuja na watoto kumpongeza mkewe kwa kuhitimu masomo.
Mume anakuwa mwenye furaha huku akijipitisha mbele ya watu,ili wamuone anavyom-care mkewe, kumbe hajui kama watu wanajua kamchezo alikokuwa anafanya mkewe.
 
::
lara 1 na Platos
vipi tena mbona mnanikatisha tamaa ujue natamani kupata mwanachuo nami niko mtaani,naganga njaa.
Je niache kabisa?
=
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli sio wote, ila kuna wengine wanatisha kwa mchezo huu.
Ukiwaona siku ya graduation wanavyowapokea wapendwa wao, utafikiri hawakugegedwa na colleagues wakiwa chuoni.
He he he heee
Yani wewe...duuh
Ushawahi kuibiwa nini?
 
weeeeeeeee.....hee,sikuzote ukiona mpenz ako anakusaliti jua hajakukubali yupo after something uyoo.
vyuoni wengi tunasaidiana kutoa stress pale cozwork zinapozingua tu but kila mtu anampenziwe alipotoka au alipowahi kuishi so chain ni ndefu watu wanavunja ahadi wanaweka ahadi dats all..chezea universities weye mpaka inservice mwenye ndoa naye yupo kweny huu mtanange!!!!
 
Hahahaaaaaaaaaaaa! Mambo ya chuo tuachie wanachuo! Chezeya mi theory ile, bila kazi na dawa lazima bichwa li bust!!!!! Haswaaaaa kwa sie wa COET!!!!!!!!!

Inaitwa stress releaver!!!!!!!!!!!!!

Basi juzi juzi wakati natoka nikamfuma Ticha (Noma mshkaji wangu umezidisha) wetu live live kampakia denti mwenzetu (Kiluzi hakuna mfano), mida ya saa mbili usiku wakatokomea kusiko julikana! Khaaaaaaaaaaaaaaaa! Banda hilo wazi wazi kiulaini. Afu ticha ana Mke!!!!!! Mxiuuuuuuuuuu!!!!!

Kuna denti mwengine anajiachia na ticha mwengine (atleast ticha huyu yuko single) sasa akanipa THE INSIDE STORY! kuwa Ticha mwepesi tu kwenye uwanja wa fundi seremala, hajui kitu, $$$$$$$$$##########%%%%%%%% (More Nasty and Tacky details) Basi tokea niipate hio inside story lile somo Nafeli tu, kama laana vile! Ticha na mafundisho yake yote nimeyashusha hadhi!

Ila twende mbele turudi nyuma Ma Ticha na Wanafunzi wote binadamu!

Unanikosha na jiyo style yako ya repoting duh,
unique style of reporting
Go go goooo Lara1
 
Kila mahusiano yana sababu zake, mengine huwa ni mapenzi tu na hakuna mpango zaidi na mengine huwa ya matarajio ya ndoa baadaye ila ukweli ni wachache wanaotimiza hizo ndoto zao.
 
Hawa vijana wanakulana uroda tu au kuna kuoana kweli?

Pole kwa jamaa zangu wenye wake na wachumba chuoni; haimaanishi wote ni wachakachuaji lakini asilimia kubwa mnaibiwa!
Haya ni maisha ya chuoni. Wale vijana wanahitaji ving'amuzi vya mapenzi ili kupumzisha akili zao. Pale chuoni hakuna mapenzi. Asilimia kubwa ni mambo ya kung'amuana.
 
Back
Top Bottom