ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
Nimekuwa nikifuatilia habari na mengi yahusuyo jamiiforums, kiukweli, nkaipenda na nkaomba kuwa mwanachama.. Kwa Hilo nashukuru na ntafurahi kupata new friends. .
Ooh, karibu sana mpendwa jamvini. Jisikie huru kuchangia chochote pamoja na kutoa dukuduku ulilonalo linalohitaji ushauri toka kwa wadau. KARIBU