Kuna msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile kinachotazamwa. Bila shaka msemo huo una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya...
Jana niliandika juu ya kutafuta mdada/mwanamke wa kuzaa naye mtoto kwa makubaliano. Nilipata kujifunza baadhi ya vitu kuhusu ndugu waliochangia ile mada. Baadhi walitumia busara kunishauri, na...
Wenyewe wameachana kwa sababu usizozijua kwa undani, lakini jamaa anaoneka kuwa mtu mzuri tu na mwenye sifa uzitakazo.
Kutokana na mzingira ya kazi yako umekuwa ukikutana na huyo bwana wa...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
Yaani nimefanya upembuzi yakinifu kidogo tu kwa hizi 2 yrs post university juu ya ndoa za wadau wangu na kugundua kuwa siku hizi kuna mchezo wa sasa. Mambo si...
Wakuu salaam,
Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa.
Niko kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa anaujauzito,lakini toka amekuwa...
Habari zenu wanajukwaa hili poleni na mihangaiko ya siku ya leo.baada ya kusema hayo ningependa kuelekea moja kwa moja kwa kile ambacho ningependa tutafakari/kujadili kwa pamoja.unaweza ukakuta...
Licha ya kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya bado unatajwa kuwa eneo lililokithiri kwa vitendo vya ngono bila kuwa na tahadhari (ngono zembe)...
Huwaga na jiuliza inakuwaje choice ya partner wengine inakuwa Ngumu kuliko mtihani Wowote duniani .inakuwaje hapa !!!malezi,life style ,au?.98 percent ya life Yako ni partner wako people take time...
Usaliti ni kitu kibaya sana. Ni matokeo ya ukosefu wa ubinadamu. Ni kwenda nje ya makubaliano ya kimsingi. Ni uamuzi wa mtu kushusha thamani yake mwenyewe. Ni kujidhalilisha kwa makusudi. Ni...
Mimi ni kijana wa miaka 25 nasoma chuo kikuu mwaka wa mwisho now.natafuta girlfriend ambaye badae atakuwa my wife nipo serious na hili.kwa sasa nipo chuoni dar na juni mwezi ujao nahitimu shahada...
Je utagunduaje kuwa Mwenzi wako ana Cheat na mtu mwingine?
Uzoefu wa wengi waliopitia katika sekeseke hili unaonyesha kuwa kuna dalili kama 10 ambazo zitajionyesha na kukufanya uwe na hisia kuwa...
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;
" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent...
Mim ni kijana wa kiume,mtanzania,mwenye umri wa miaka 27,nahitaji msichana wa kunipa faraja ktk kipindi hiki kigumu cha mahusiano nlichonacho!
Siyo lazima awe single coz ninachohtaji ni faraja...
Kwa heshima kubwa tunapenda kutoa shukrani zangu pekee kwa wana JF ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki nasi katika kutufariji katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mama wa mke wangu na...
utakuta mtu baada ya
kutendwa na kuteswa na
mtu ambaye pengine yy
hakumuamin na kushindwa
kujitahidi kuyatumikia
mapenzi kwa uadilifu na
stahili yake au kukutana na
mtu asiye na mapenz ya...
salama wanandoa jamani! jamani huu mtindo wa baadhi ya wanawake kuwaonea aibu waume zao kitandani kiasi cha kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mume inanikera sana.. msishangae siku mumeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.