Flelex curtis
Member
- Apr 20, 2013
- 46
- 16
Habari zenu wanajukwaa hili poleni na mihangaiko ya siku ya leo.baada ya kusema hayo ningependa kuelekea moja kwa moja kwa kile ambacho ningependa tutafakari/kujadili kwa pamoja.unaweza ukakuta watu walio kwenye mahusiano ya kimapenz kwa kipindi/muda fulani bila ya kushiriki katika tendo linalowakutanisha kimaumbile/hisia kiukweli kuna baadhi ya mambo/maneno ambayo tunakutana nayo haswahaswa kwa wenzetu WASICHANA/WANAWAKE.walio wengi kabla ya tendo utakumbana na matusi,kejeli,dharau n.k mimi binafsi nimeshawah kukutana na jambo kama hili kwa mfano tukigombana tu na mpenz hapo ni matusi na dharau lakin baada ya kukutana kimwili amekuwa mpole sana hata niwe na makosa anakuwa mpole kipind cha nyuma hata kama hakuna kosa alikuwa ananitukana kupita kiasi.je hili suala linatokana na nini?maana huwa sielewi