Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dalili kumi za kukuonyesha kuwa mwenzi wako ana-cheat...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Allien, Feb 15, 2011.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Je utagunduaje kuwa Mwenzi wako ana Cheat na mtu mwingine?

  Uzoefu wa wengi waliopitia katika sekeseke hili unaonyesha kuwa kuna dalili kama 10 ambazo zitajionyesha na kukufanya uwe na hisia kuwa unaibiwa:

  1. Mwenzi wako anakuwa more critical au na ubishani usio hata na tija katika mambo madogo nay a kawaida. Sababu ni kuwa kuna mpenzi mpya ambaye ana share naye hisia zake za kimapenzi na matokeo yake ni kuwa umuhimu wako kwake unapungua na hivyo hajali chochote anachokuambia wala hayuko sensitive na feelings zako.

  2. Unapowauliza juu ya habari zao mfano "Ulikuwa wapi?" au mambo ya kimsingi wanakuwa hawaeleweki, au wanajifanya kukasirishwa au kuleta arguments zisizo na tija..

  3. Ukiona mwenzi wako anakimbilia bafuni kuoga mara tu akiingia nyumbani hiyo pia si dalili njema. Madhumuni yake huwa inakuwa ni kuondoa harufu ya mtu mwingine, au marashi ya mtu mwingine au hata harufu iliyobaki wakati wa majambozi.

  4. Kama mwenzi wako anatumia Computer na wewe unaingia anaamua ama kuhama nayo au kuifunga au kufunga windows haraka na kasha anaonekana a bit nervous na kudivert mazungumzo mara aulizwapo mbona unahama au unafunga computer?

  5. Mwenzi wako anajiweka pembeni anapopokea simu Fulani Fulani au anapotuma au kupokea SMS Fulani. Anakuwa hachezi mbali na simu yake. Wakati mwingine analala nayo, kwenda nayo washroom, kuilock bila ulazima au unapoomba utumie simu yake kwa sababu muhimu kukataliwa bila sababu za msingi

  6. Mambo ya kujiweka soap soap au kujirembesha yanabadilika, hasa katika Nyanja za perfume perfume; hairstlyles, smartness, nk.

  7. Grooming habits pia inabadilika tofauti na ile iliyozoeleka ambayo labda ulikuwa unaifurahia. Hasa mavazi, na kujirembesha. Mwonekano wake anapenda ubadilike ili avutie zaidi, mara nguo nguo mpya, viatu nk nk.

  8. Hobbies, interests na mipangilio ya maisha inabadilika na inakuwa tofauti na ulivyozoea. Hiyo inamfanya aendane na mpenzi wake mpya.

  9.Ghafla mwenzi wako anakuwa busy au na ratiba zisizoeleweka tofauti na mazoea ili mradi ratiba hiyo isimweke karibu na wewe au na nyumbani. Bila ya shaka hii ni kumpa wasaa wa kuwa na mpenzi wake mpya.

  10.Kihisia na kimapenzi anakuwa mbali na wewe na interest inapungua kabisa kama siyo kufa. Hii ni a very strong sign hasa pale hata maongezi yanapungu na hakuna hata mambo ya kushare pamoja tu ila yale ya msingi, less affection, less cuddling, less sex and less emotional attachments

  Kama mwenzi wako anazo baadhi ya dalili zilizotajwa bila ya shaka suspicion zako zinaweza kuwa za kweli na inabidi uzifanyie kazi za "Ki-Intelligensia" ili kupata uhakika au ushahidi.

  Maswwali la kimsingi ni:

  1. Je utapataje ushahidi wa uhakika katika mambo yaliyotajwa?

  2. Je, kuna dalili zozote za ziada zaidi ya zililzotajwa ambazo zinaweza kuwa ni kiashirio kuwa unaibiwa?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwongozo mzuri ila naweza nikatoa maelezo yanayopinga hizo dondoo zote kua za mtu anaecheat!!Tena sio kwa kubahatisha ila kwakua nimeona na kupitia mwenyewe!Kwahiyo inawezekana zikaashiria kucheat au ikawa kwa sababu nyingine tofauti kabisa!
   
 3. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mama Mchungaji; hizo ni dalili tu . . .

  Kama nilivyoandika:

  Kama mwenzi wako anazo baadhi ya dalili zilizotajwa bila ya shaka suspicion zako zinaweza kuwa za kweli na inabidi uzifanyie kazi za "Ki-Intelligensia" ili kupata uhakika au ushahidi.

  Hata hivyo kutusaidia ni vema ukatupa pia uzoefu wako. Jukwaa letu sasa lina wanachama zaidi ya 30,000 ni vema tukabadilishana uzoefu.

  A.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Allien,

  Tatizo ni kwamba mwongozo wako unaweza kuwafanya watu wengi waanze kuwaangalia wenzi wao kwa macho matatu!

  Ubaya ni pale unapomsuspect mtu wakati wala haja/hafanyi chochote kibaya unaweza ukawa ndo unampa ruhusa ya kufanya ulichodhani kua utakachojua! Watu waaminiane!

  Mabadiliko yakitokea angalia kwanza yatakavyoendelea kabla hujaanza kuvizia simu ya mwenzio usiku badala ya kulala!!
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Mkuu sina neno lakini nadhani mtu anaweza kuwa na dalili mbili/tatu kati ulizoziainisha ila kisiwe kigezo cha kuhisiwa anacheat...muda nao unapausha penzi hivyo ubunifu unatakiwa kila leo ili kusustain mahusiano!
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hapa ni kweli kabisa mimi ilishanikuta hii na nilipo hack mail yake nikakuta ushahidi wa kufa mtu. Uhusiano ukaishia hapo.
   
 7. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Definetely katika hali ya kawaida huwezi kumsuspect mwenzako hadi hapo itakapofika point kuwa kuna mushkeli.

  Dont understimate the statistics of infidelity zinazidi kupaa tena hata kugundua bila vigezo kuvijua inaweza kuwa si rahisi. Nimejaribu kushare yale ambayo nayafahamu katika kuhandle issues mbalimbali kama hizo zinazohusiana na ndugu, jamaa na marafiki.

  Bado kuna wale "Professional Cheaters" ambao bado unaweza usiwabambe.

  Hata hivyo bado hujatupa experience yako uliyoitaja hapo juu.
   
 8. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja Mkuu.
   
 9. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Mkuu, pole sana hiyo ni sehemu ya maisha.

  Ili kuwasaidia wengine unaweza kutupa uzoefu wako wa CHEZO hilo lilivyokuwa?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe umezidi!Mpaka kuhack email ya mwenzio...!?
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa, mimi huwa very defensive nikiwa na mawazo yasiyokubalika kwenye uhusiano.

  Mfano: Kuna wakati nimekutana na mkaka, nikampenda na tukawa tunawasiliana na kuonana, waga nakuwa so defensive, nikiulizwa jambo dogo tu na yule niliyoko nae kwa uhusiano, ubishi wake na chakula naweza acha nikaondoka, roho inasuta...

  Pia hilo la kujiremba, new clothes, perfumes, ni kweli kabisaa......!!!!
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Michelle

  Mmmh . . . interesting . . . ulimpenda wakati uko kwenye relation nyingine?

  Is this you our own Michelle au ni Avatar tu umebadilisha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Yeah nilikuwa na relationship then ikatokea nikakutana na mwanaume mwingine tukapendana,tukawa tunawasiliana na kuonana tukiweza,sasa nikiulizwa mbona umebadilika au uko busy sijui nini,nakuwa mkali..........ila ndo hivyo,mwisho wa siku unaamua moja.......!!!
  This is Michelle your own,nimeweka avatar ya mchezaji ninayempenda,alikuwa ameumia sasa yuko fit ndo nimeweka hiyo avatar kwa muda kujifurahisha nafsi yangu.....l.o.l
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mimi nikifunga computer akiingia ndani sio kwa sababu nilikuwa nafanya kitu kibaya kwenye pc, ni kwamba nataka kuwa focused kwake yeye badala ya pc.
   
 15. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmmmmmmhhhhhhhhhhh,focus for really......l.o.l:coffee:
   
 16. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Lizzy; hapo juu uliandika "nimeona na kupitia mwenyewe".

  Why dont you share your experience kama Michelle?
   
 17. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  So honest to be true . . . cant be good than that.

  Madame, I hope that was the past and that you are now "a good gal" kama unavyotoa maushauri yako hapa JF.
   
 18. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kama hukufunga ghafla its Ok na ana haki ya kupewa attention. Lakini kama ulifunga ghafla huku kiroho kinakudunda na kijasho kwa mbali . . . hapo lazima kutakuwa na mushkeli mkuu.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mjomba..shangazi..kaka..dada na mashemeji wapo humu!Naogopa!
   
 20. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona wanaume ndio tu hulaumiwa kwa ku cheat?
   
Loading...