Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya baba kuwa na familia alijaliwa watoto wa kike wawili na wa wakiume mmoja wakati huo huo baba huyu alijipenyeza na kwenda nyumba ndogo ambapo alijipatia pia mtoto wa kiume na baada ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely. imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
Hivi jamani wanaume wengine bado wana mapenzi ya kizamani ya kuwafanyia vituko mademu na wao kujiona vidume,kama demu humtaki kwa nini usimwambie ukweli,sawa ataumia lakini yatapita atasahau...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
miaka yangu 35, nahitaji kuoa msichana/mwanamke ambaye hajawai kuzaa na hawez kuzaa kabisa. awe na umri chin ya 40 miaka. serious!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sababu ya furaha iko ndani yako. Sote tuna roho na miili. Sehemu ya roho siku zote huwa na furaha. Ni sababu ya furaha. Akili na fikra zako ndizo zinazuia virutubisho hivi vya furaha. Kama vile...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Ni binti/dada mwenye umri wa miaka26 hivi,hana mtoto wala mume. Anafanya kazi kwenye kampuni moja hapa LUSAKA(ZANACO)ni jirani kabisa na stand kuu ya mabasi ya kwenda nchi jirani za...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka zaidi ya 10 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing...
29 Reactions
55 Replies
5K Views
Updated Wednesday, May 22nd 2013 at 07:50 GMT +3 In a stunning example of a soap opera come to life...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanawake lazima mujitambue unatembea na mutu yenye hela halafu haikupi hela.Unatembea na muheshimiwa hata China hujafika. Lazima ujekuliza una matatizo gani? Mutaishia kulalamika kuwa mnabakwa na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke).... Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe...
9 Reactions
67 Replies
7K Views
Wanabodi kuna taarifa nimezipata ila sina hakika inasemekana Wanaume wanume wanaova dhahabu maranyingi huwa wamepungukiwa nguvu zakiume,kwamaana dhahabu nikwaajiri ya wanawake!Ndiyo maana waislamu...
5 Reactions
102 Replies
11K Views
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hi! Tendo la ndoa ndiyo kiunganishi cha wanandoa hivyo kama halitapewa nafasi kubwa linaweza kuvunja ndoa.Watoto wanakuja baada ya tendo la ndoa.Mali unaweza kuzipata hata bila kuoa au kuolewa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani watanzania ebu kila mtu atafute kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wake kwani hizi ni nyakati za mwisho, na ni bora kila mtu amtafute Mungu wake ili aweze kuishi kwa furaha.
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Hi! Watu wengi wanaamini ukiwa na fedha basi inakuwa ni rahisi kumpata mke yoyote unayempenda ila amini si mke mwema kama utampata amini utakuwa umebahatisha.Unapokuwa na mafanikio fulani kila...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kila siku naleta zilizopendwa tu, ila leo nimeamka nasikiliza huu wimbo... Ladies and Gentlemen, When I was your man by Bruno Mars (guess jibu lake ni "a brand new me" by Keys) Same bed, but it...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jf, hivi karibuni nimeamia Moshi. Na huku mimi sio mwenyeji sana. Ila kipindi cha nyuma nilikuwa nakuja Arusha nakaa wiki moja na kurudi Dar. Ila safari hii nitakaa muda mrefu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…