Level gani ya uchumi ni nzuri kutafuta mchumba?

Level gani ya uchumi ni nzuri kutafuta mchumba?

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Hi!

Watu wengi wanaamini ukiwa na fedha basi inakuwa ni rahisi kumpata mke yoyote unayempenda ila amini si mke mwema kama utampata amini utakuwa umebahatisha.Unapokuwa na mafanikio fulani kila mwanamke anapenda awe na wewe yaani umuoe kwa hiyo kunakuwa na uwezekana mkubwa kununua mbuzi kwenye gunia maana hata wale wanaopenda pesa nao huvutika kwa kasi ya ajabu na wako tayari kuigiza vile unavyovipenda.

Ila kuna wadada wachache sana wenye upendo wa dhati ambao wao wako tayari kuolewa na mtu yoyote bila mafanikio yoyote ya kiuchumi.

Kwa kuwa pesa zinaweza kuja muda wowote au zinaweza kupotea muda wowote je ni muda gani muafaka wa kutafuta mchumba?Ukiwa tayari na pesa au ukiwa katikati ya safari kuelekea mafanikio?
 
Mchumba hatafutwi kwa kuangalia kigezo cha "fedha" ngapi iko na wewe au unatarakjia kuipata

Msingi mzuri wa ndoa ni ukomavu (kule kujitambua na majukumu yanayoambatana na ndoa na kuwa tayari kuyabeba majukumu hayo) na upendo uliothabiti

UYkivikosa hivi ni ngumu kuwa na ndoa


 
kwa wale ambao fwedha matters basi angalia pamoja mkichanga revenues zenu mweze angalau kuishi maisha ya kawaida (food, shelter, education, health, transport, communication) na kusave kidogo kwa siku za usoni.
 
hakuna level kwenye mapenzi ni muda wako ukifika
 
Utakapojiona uko tayari kuishi na mwenzio na kumpa heshima zote anazostahili kama mkeo, kumthamini, kumsikiliza, kumuomba ushauri mbali mbali, kumpenda basi ujue umefikia wakati wa kuishi na mwenzio. Kigezo cha kuwa na kiasi gani katika bank account yako au mshahara wako ni mkubwa kiasi gani kamwe kisitumiwe katika maamuzi ya utayari wa kuishi na mke maana si kigezo kizuri ndio maana hata kule Hollywood kwenye matajiri wa kutupa ndoa zao nyingi hazidumu. Kila la heri katika kutafuta mwenzio.

 
Last edited by a moderator:
mhm...well i think u myt not be in mzabzab's countless list but u will certainly be in another countless list

but thats when I decide to sell it roger it.......
by the way why should I be iny any body countless list while I can be number 1 somewhere
 
I dont want to be number 1 i can even be number 6/8 but in a counted list....
 
but thats when I decide to sell it roger it.......
by the way why should I be iny any body countless list while I can be number 1 somewhere

hahaha number 1 u myt be but he myt have hundreds...ungesema the only one ninekubali....i guess subconsciously unakubali kuwa mwanaume hawezi kugegeda mwanamke mmoja tuu
 
Back
Top Bottom