Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta mchumba seriously, awe na umri kati ya 22 na 27, asiwe mnene, awe na rangi ya asili, elimu walau kuanzia form four kabila na dini sibagui cha msingi ni hofu ya mungu.. Mimi namaliza chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli duniani kuna mambo.Na mwanamke anashida hadi mwisho wa dunia. Nasema hivi kwa sababu, kuna mzee mmoja miaka kama 70 nilimshangaa nilipomsikia akisema kuwa, kwake hata kama mkewe ana miaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26 ninaandika hivi kwa sababu nimeamua kuomba mawazo kwa wa wanajamii, kwa ukweli na uwazi mimi ni mtu ambaye nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto kwa muda mrefu hili tatizo...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Habarin wana jf, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, ni muajiri wa umma, nimechoka kuishi single, mwanamke aliye tayari kuitwa mke, namhitaji. Naomba awe na vigezo vifuatavyo: 1. Asiwe amewahi...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Wapendwa za asubuhi, Kuna mama mmoja ni rafiki yangu kaniomba mchango wangu,ana Binti yake. Tumpe jina (Isha)ambaye ni mwalimu wa sekondari huko mkoani katika pitapita zake wakatokea kupendana...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Awali ya yote wana jamvi za jioni??? Mimi ni mgeni machoni penu lakini ni mwenyeji hapa jamvini: Naweka uzi wangu maana sasa inataka kula kwangu.. Tatizo lenyewe liko hivi hapa mtaani kuna jirani...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
NILIWAHI kusoma hadithi moja kwenye magazeti iliyokuwa inamhusu mkuu mmoja wa kituo cha polisi aliyefaa kuitwa ‘Mtu Mzima Hovyo.’ Kwa mujibu wa hadithi hiyo, ‘afande’ huyo, licha ya umri wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.mwanaume hapendi kuwa cheated na mpenzi wake awe wa ndani au nje ya ndoa,najua na wanawake pia hawapendi na wanaumia kuwa cheated, lakini kuna utofauti kucheat kwa mwanamke na mwanaume,mwanaume...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano...
2 Reactions
88 Replies
6K Views
Huu ni mtazamo wa Bwana ABUNUASI juu ya wanawake, Je haya ni ya kweli??? wewe haya yamekukuta?? Women are demons, and were born as such; No one can trust them, as is known to all; If they love...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf,hebu tufurahi kidogo hapa ikiwa ni pamoja na kutafakari kama yanaweza kutufika sisi tungefanyaje.Kuna wanandoa fulani ambao wamedumu katika ndoa yao takribani miaka kumi,lakini...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu jamani mie mwenzenu nilikuwa na rangi nzuri sana ile chokoleti sasa nikajikuta napenda weupe mkaali nikaanza kutumia tentclair basi mpaka leonapaka mikorogo ya bei anayeuza Sandra pale...
2 Reactions
131 Replies
17K Views
"i will marry you" this is the bigest and common lie spoken by many men/boys to cheat women/girls. "nitakuoa" ni uongo unaozunguzwa sana na wanaume kuwahadaa wanawake. WATCHOUT.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mchumba(msichana) wangu ni mweupe japo si sana. Amekua akitumia lotion ya blue lady lakn sasa nataka nimbadilishie lotion au mafuta. Kwa yeyote anayejua mafuta au lotion nzuri kwa specification za...
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Mimi ni kijana,umri wangu miaka 26,nina kipato cha kawaida kwa kazi ya kujiajiri,dini yangu mkristo,nahtaj mweza wa maisha,awe mrefu wa wastan,mnene kiasi,sibagui dini,rangi wala kabila ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ATLANTA — A local woman is upset that a refugee family from Africa was kicked off a flight to Atlanta because of the way they smelled. Rochelle Jones was happy to see the refugee family heading...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Mim ni mwanaume nina miaka 28,nimeoa kabla ha2jaoana mke wangu alikuwa na tabia ya kila nikimhitaji anasema hajisikii,nikadhan kuwa anahofu nitamchezea na kumuacha lakin cha kushangaza hata...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
++ Kuna watu katika jamii ambao wakitamka jambo basi lazima litatokea tu.Wakikuambia usiende safari,basi usiende kweli Ukibisha ukaenda unaishia kupata matatizo.Hapa siongelei watabiri wa nyota...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya baba kuwa na familia alijaliwa watoto wa kike wawili na wa wakiume mmoja wakati huo huo baba huyu alijipenyeza na kwenda nyumba ndogo ambapo alijipatia pia mtoto wa kiume na baada ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom