wanawake/wadada lazima mujitambue

wanawake/wadada lazima mujitambue

Zahra White

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
598
Reaction score
576
Wanawake lazima mujitambue unatembea na mutu yenye hela halafu haikupi hela.Unatembea na muheshimiwa hata China hujafika.
Lazima ujekuliza una matatizo gani?
Mutaishia kulalamika kuwa mnabakwa na waheshimiwa wakati huna hadhi ya kupewa hela.
Wewe utapewa biriani tu la Ijumaa na Chips zenye pilipili .
Bora utulie na wasiokuwa na hela wenzako uitwe muke ya mtu.
Mimi nimechukia sana munataka hela unavaa nguo za mutumba mwanaume atakupa elufu 40 au 60.
You are not class at all.
Why he should bother to spend his money on you?
Mutafununuliwa kila siku ila hamutopewa hela.
Lazima mujikubali mulivyo.
Mnakuja kwa Deo Bendi kuwinda wanaume zetu mie wangu keshasema hachukui nyie.

mwanamuke huna nguo,huna viatu hujui kuvaa unataka upewe hela nyingi.
Usipopewa unasingizia mumebakwa.
 
Wanawake lazima mujitambue unatembea na mutu yenye hela halafu haikupi hela.Unatembea na muheshimiwa hata China hujafika.
Lazima ujekuliza una matatizo gani?
Mutaishia kulalamika kuwa mnabakwa na waheshimiwa wakati huna hadhi ya kupewa hela.
Wewe utapewa biriani tu la Ijumaa na Chips zenye pilipili .
Bora utulie na wasiokuwa na hela wenzako uitwe muke ya mtu.
Mimi nimechukia sana munataka hela unavaa nguo za mutumba mwanaume atakupa elufu 40 au 60.
You are not class at all.
Why he should bother to spend his money on you?
Mutafununuliwa kila siku ila hamutopewa hela.
Lazima mujikubali mulivyo.
Mnakuja kwa Deo Bendi kuwinda wanaume zetu mie wangu keshasema hachukui nyie.

wewe ndo muwindaji wa waume za watu afu sijui unaongea nini
eti kuwen watambuzi utambuzi unaanza na wewe
 
Dah!! Yule mume wa mtu kakudanganya anakuoa baaasi umeji-fill proud.
 
may be......
atakuwa mutu ya kongo
Hizo ni mbwe mbwe tu unadhani hajui kiswahili fasaha. Sijui kwanini tu huyu dada anashindwa kuona makosa anayowafanyia wanawake wenzie. Tangu huyo mme wa mtu amdanganye eti mkewe ana mapungufu flani basi yeye akajua kaambiwa kweli wapi mwanamume akikuhitaji atakutajia kila aina ya mapungufu juu ya mkewe ili mradi anajua anakudanyya ili akupate . MUME WA MTU THUMU
 
thread ya mkorogo imekushinda naona umeamua kuja huku maisha yako full stress I can imagine
jifunze kiswahili fasaha basi maana hizo
  • muniwache
  • mutumba
  • munataka

Hizo swagga za Kicongo mani! Mambo ya iko byeee (Bien)!!!!!!! Chezeya jiji hili weye?
 
Hizo ni mbwe mbwe tu unadhani hajui kiswahili fasaha. Sijui kwanini tu huyu dada anashindwa kuona makosa anayowafanyia wanawake wenzie. Tangu huyo mme wa mtu amdanganye eti mkewe ana mapungufu flani basi yeye akajua kaambiwa kweli wapi mwanamume akikuhitaji atakutajia kila aina ya mapungufu juu ya mkewe ili mradi anajua anakudanyya ili akupate . MUME WA MTU THUMU

tena thumu kwelikweli,,, ngoja aendelee kuji proud na waume za watu ndio wanaoMupa Majeuri Mujini so tuMuwache aendelee kujikosha
 
Hahahaaaaaaa! Zhara umenikuta niko kwenye mood ya kiswazi swazi kishe.nzi (Elite mnisamehe in order to survive huku uswaaa matusi ni viunganishi, viambatanishi na vivumishi! Hata ukimsifia mtu lazima uvumishe kidogo kitu uzima! Kama Hio nguo imekutoa Ny.oko kichizi! Ndo unasomeka kidigitali!!)

Bi zahara juzi nilikuwa saluni nikasikia jipya!!!!!!!!

"Heri yetu sisi wenye nyota ya kupendwa tumewekwa ndani twala tu! Bibi una nyota ya Mbwa shurti ushinde unakesha kwenye maclub ukisaka mabwana!!!!!!!! Halooooooooooooooo!!!!!!!!!!!"

"Au ana nyota ya Punda! Kutwa kubebeshwa mizigo ya wenzio! Kila ukilala wabeba mijibaba ya wenzio! Unalooooooooo Hiloooooo!"

"Halooooooooooooooooo! ya Mgomba Kujichana Wenyewe"

Mi simo jamani! Nimesikia tu huko uswazi.com
 
Hapo chachaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom