Hi all
Rafiki yangu mdada anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, na ndoa hiyo itafungwa kwao mwanaume (uhayani - Bukoba) tatizo ni kwamba huko Bukoba hana hata ndugu wa kuvuta na kamba...
Habari Wenyeji wa jukwaa hili. Habari ilitawala mjini mara kwa sasa ni kuhusu Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Andrea Mjungu, mwenye umri wa miaka 26 kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi...
eti kuna mheshimiwa mmoja wa hapa tz aliopoa dent wa udom
asubuhi ilipofika dent kudai chake akapewa tshit,kofia na kibendera cha chama...mheshimiwa hakuwa na chochote
habari wanajamvi ?
Naombeni ushauriwenu maana huwa napenda sana kufanya mapenzi mara kwa mara na mchumba wangu
yaani hata akiwa amelala usingizi mizuka inanijia najikuta namvamia bila taarifa...
naitwa sam natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo tu na kupiga stori kutembeleana ila awe na miaka 25 na si zaidi ALIE TAYARI ANI PM......
HAKIKA HATAJUTA KUWA NA RAFIKI KAMA MIMI
Binti wa mwenzio pia ni binti yako, hichi ni kitu ambacho unapaswa ukifikirie kwa undani zaidi kwani jinsi unavyotaka binti yako aheshimiwe na atunzwe na wengine, ndiyo vilevile nawe unatakiwa...
Mnamo mwaka 2000 Niliota ndoto nikiwa nasafiri ndani ya basi na nimekaa na kijana mmoja mtanashati sana. Tuliongea mengi lakini cha kushangaza alishuka njiani na hatukukumbuka kupeana namba za...
Mimi ni mwanamme naishi Arusha, napenda kuwasiliana na mama mwenye umri tajwa hapo juu. Sifa zake; awe ni mtu mwenye busara na anaye jilinda, awe ni mfanyabiashara na kipato cha kumtosheleza ili...
Nimekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na binti mmoja ambaye siku zote huwa tunafurahia mahusiano kama kawaida na hajawahi niambia mambo ya chooni...
Kilichonichanganya...
Kumekuwa na kamtindo ka wanaume kutopenda au kutojaribu kutumia njia za kunogesha tendo la ndoa, hasa pale wanapokuwa hapendi kupata mtoto kwa wakati huo.Kwa mfano vipo vidonge kwa wanaume ambavyo...
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka...
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaidi ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia...
Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo...
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road
Mtazamo wa kuona kuwa mwanamke ni kiumbe anayehitaji favour kama vile, kulindwa(security), kuinuliwa, kutetewa, mpaka kuwa na siku ya wanawake, siku ya kina mama, viti maalumu, makazini kupewa...
ukitaka kumfurahisha mumeo au mpenzi wako fuata yafuatayo,kwa wadada zaid
Keeping Yourself Smelling Fresh
1 Trim, wax or shave your pubic hair. Thick pubic hair can cause you to...
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.