Mapenzi ya vituko

Mapenzi ya vituko

Lady Bird

New Member
Joined
May 22, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hivi jamani wanaume wengine bado wana mapenzi ya kizamani ya kuwafanyia vituko mademu na wao kujiona vidume,kama demu humtaki kwa nini usimwambie ukweli,sawa ataumia lakini yatapita atasahau kuliko vituko unavyomfanyia,unaanzisha mahusiano na demu mwingine halafu unadai ni rafiki tu wakati meseji mnazotumiana ni za mapenzi,mara kwenye facebook unaweka picha yake kwenye profile yako. Nini sasa hicho! Wanaume tuhamie digitali tuachane na mambo ya kizamani,mapenzi yawe ya kumaanisha.
 
mh..... hlo nalo neno mm mwenyewe kuna mtu namuhifadhi jina kapuni ana hako katabia bana kiukwl it is nat fair
 
Sio bure!!! Yaliyokusibu ni makubwa hivyo unastahili nikupe pole.

Huyo uliyekuwa nae ni kati ya wale wanaume ambao bado hawajajua nini maana ya kupenda. Watu wa aina hiyo husumbuliwa na ulimbukeni katika mapenzi hivyo usiwalaumu bure.

Huwenda pia ni utoto tu unamsumbua ila akikua ataacha, wanakuambia "ujana maji ya moto".

Vumilia mwaya Lady Bird utampata mwanaume anayejua kupenda na mwenye kuelewa nini maana ya kupenda. Ila na wewe unastahili kuwa mwelewa na mwenye kupenda kujishusha pale unapokosea. Usiwe mgumu kumweleza mwenzi wako ni wapi alipokosea ili muweze kuishi kwa amani nafuraha katika mapenzi yenu.

God will be with you all the time.
 
Last edited by a moderator:
mhm .....kwa nini akwambie wakati bado anataka kuendelea kumega papuchi yako bure.
 
Back
Top Bottom