naolewa tu sababu ya mimba yake and not any other business!

naolewa tu sababu ya mimba yake and not any other business!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini

bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser

nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata

vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu :car:
 
Kwanini awe na uhusiano hadi kufikia mimba kama alikuwa hampendi?
 
Do you, and let others do them.

Who are you to dictate?
 
wanaume wanaoa wanawake ili kuweka heshima.
Wanawake wanaolewa na watu wasoiwapenda ilikujifanya wake wa watu.
Lastly they come to us and we chop their money
 
Anampenda huyo alikuwa tu anakuotezea muda wako,wangapi wana mimba plus watoto but wanawalelea kwao
 
wanaume wanaoa wanawake ili kuweka heshima.
Wanawake wanaolewa na watu wasoiwapenda ilikujifanya wake wa watu.
Lastly they come to us and we chop their money

Umenenaaaaa:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini

bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser

nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata

vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu :car:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/455124-ushauri-pliz-nafikiria-divorce.html

Yatakukuta ya huyu
 
Hivi huwa ni kweli? Hii kujifunza kumpenda mtu?

Sidhani kama ni kujifunza kumpenda mtu (learning to love someone).

Ni 'growing to love someone'. Sasa hii Kiswahili chake sikijui.

But I believe love can grow over time.
 
Mmmh, ngoja nije nifanye majaribio

kwa kiswahili itakuwa labda 'kukua kumpenda mtu'🙂

Sidhani kama ni kujifunza kumpenda mtu (learning to love someone).

Ni 'growing to love someone'. Sasa hii Kiswahili chake sikijui.

But I believe love can grow over time.
 
au ndo mmoja kati ya hawa walioniletea kadi za michango hapa.
kumbe hakuna umuhimu wa kutoa michango tena.
 
Huyo ni mku*****du.. Alibakwa au alikuwa anatoa miguno... Ya utamu kwa hiari... Au ana vunga uombe mzigo??????
 
Ngoja nimchunguze huyu biharusi ninaemchangia isije kua ndiye yeye . Asante ndugu umenisaidia nikijua nndie walah sitoi mchango ntavunga tu.
 
We ---- fanya yako,serekali na umaa tunashauli watu waoaene ww unashauli waachane,she may nt have feeling now but later she may develop em for him..

Sent from my i Phone 5 using JamiiForu
 
Nikisema EITHER WAY LIFE F.U.C.K.S YOU! naonekana mbaya na mchochezi ila huo ndo ukweli wenyewe!!!!!!!!!! Ooooops!!!!!!
 
Mwongo Huyo anajenga tu mazingira ya kukuweka sawa. Anakutaka Huyo!
 
big looser hivi bado kuna wanawake wanamna hii?hajui kufanya kazi amlee mwanae hadi apate anayempenda?
 
Back
Top Bottom