Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
1.mwanaume hapendi kuwa cheated na mpenzi wake awe wa ndani au nje ya ndoa,najua na wanawake pia hawapendi na wanaumia kuwa cheated, lakini kuna utofauti kucheat kwa mwanamke na mwanaume,mwanaume anaweza akakucheat na still bado akawa anakupenda.mwanamke akicheat ina maanisha mapenzi yameisha na hana filing na mwanaume wake, kwa upande wa mwanaume inamaanisha peromance yake ndogo au hawezi malavidavi in general
2.mtoto wake wa kike kupewa mimba hasa akiwa na umri mdogo i.e chini ya miaka 20.cna haja ya kuelezea sana hapa nahs kila ki2 kinajulikana na sababu.
2.mtoto wake wa kike kupewa mimba hasa akiwa na umri mdogo i.e chini ya miaka 20.cna haja ya kuelezea sana hapa nahs kila ki2 kinajulikana na sababu.