bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Mchumba(msichana) wangu ni mweupe japo si sana. Amekua akitumia lotion ya blue lady lakn sasa nataka nimbadilishie lotion au mafuta. Kwa yeyote anayejua mafuta au lotion nzuri kwa specification za mchumba wangu naomba anisaidie. Kuna mdau alinishauri kuhusu cream ya body white kwa yeyote anayeijua naomba ufafanuzi wake je haibadilishi ngozi?