Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani matatizo tumeumbiwa wanadamu sio wanyama mimwenzenu nimejitahidi sana kuacha kujiponoa mwenyewe(nyeto) lakini nimeshindwa.......kama kuna fawa au njia mbadala plzzzzz tuchangiane mawazo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nachokoza tu kwa weledi wangu mdogo kuwa kutafuta rafiki wa kimahaba kwa minajiri ya kuwa mchumba na hatimaye my wife/husband ni kigezo kisichokuwa na msingi na ni cha kibaguzi na unyanyapaa wa...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
  • Closed
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii, Message sent
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Bila ya shaka wengi tumeona na tunaendelea kuona mmomonyoko wa maadili wa tabia za watoto na vijana. Tunaona katika mambo mbalimbali na inawezekana umewahi kufika mahali hata kusema "watoto wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi i always assumed MONEY IS THE ANSWER TO ALL PROBLEMS!!!! Yaani its something i believed totally n completely! I believe it to the extent...
22 Reactions
114 Replies
8K Views
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya...
3 Reactions
89 Replies
8K Views
Wana JF naomba tuthibitishe au tukatae hili Mpenzi wa 'kidhungu' akikupigia ucpopokea atakuTEXT =honey. What's wrong? Are you alright?I hope you are safe! Call me back.....I love you!!! MPENZI...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
kiukweli napiga punyeto kupita kiasi kwa siku mara nne hadi tano natamani sana kuacha hii kitu lakin nashindwa kabisa na nnajuta kwann nilijifunza hii kitu.jaman kama kuna mbinu yoyote nawezatumia...
1 Reactions
79 Replies
13K Views
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani Katavi, Veronica Saleh ‘Mama Kaela' (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwanza kabisa naomba kuwapa pole kwa shuguli za kila cku za kutafutia familia zetu mkate wa kila cku.pili naomba kuwapa ushauri juu ya kutii viapo vyetu vya ndoa,familia nyingi zinaingia kwenye...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
I salute all MMU, Leo niko kivingine kabisa si kwamba mtu ameiba password yangu La hasha wala si bange ninazokula. Ni hivi tangu nilipojua kuwa Obama anakuja bongo nimekuwa nikijisop sop kila...
1 Reactions
109 Replies
9K Views
Kwa roho saaaaafii kabisa ni2pie halali yangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar zanu wanajamvi naombeni msaada wa ushauri. mimi mwenzenu karibia kila siku nikilala naota nikifanya mapenzi na mtu nisiemjua, wakati mwingine naota na du na x-wangu, pia naweza kuota...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Mimi ni mwanaume msomi mwenye elimu ya chuo kikuu,sina kazi lakini nina mipango mingi ya kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kimaisha,ninapenda kufanya shughuli za kujiajiri ila tu mtaji...
0 Reactions
70 Replies
10K Views
eti mwanamke akiwa amekuzoea sana mara ghafla bila sababu ukimsalimia haitikii wala hakusalimii kama mwanzo eti mara nyingi kisa huwa alikuwa anataka dushelele au kugegedwa bt we umeonekana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi. Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara nyingi huwa nasumbuliwa na tatizo moja la matiti yangu kuwasha hasa baada ya kuoga.. je, kama kuna anayefahamu tatizo hili tafadhali naomba unisaidie kwa hili, manake limekuwa serious jamani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…