Jaman naomba mnisaidie wana jf

Jaman naomba mnisaidie wana jf

IHANDA

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
62
Reaction score
15
Mara nyingi huwa nasumbuliwa na tatizo moja la matiti yangu kuwasha hasa baada ya kuoga.. je, kama kuna anayefahamu tatizo hili tafadhali naomba unisaidie kwa hili, manake limekuwa serious jamani
 
upo kwenye joto....
yakiwasha yakune ...



ushauri nenda jukwaa la doctr
 
jaribu kubadilisha sabuni unayotumia kuogea!tumia sabuni yenye low pH around 5,5...na yanawasha sehemu gani haswa chini matiti kwenye mkunjo au wapi?Inawezekana una fungus!
 
jaribu kubadilisha sabuni unayotumia kuogea!tumia sabuni yenye low pH around 5,5...na yanawasha sehemu gani haswa chini matiti kwenye mkunjo au wapi?Inawezekana una fungus!

yanawasha kwa upande wa kwenye chuchu.. mara ya kwanza madaktar waliwah kuniambia nibadilishe sabun but hali bado. na bado cku zingine naoga bila soap lakin huniwasha
 
Unavaa brazierre inayokubana sana? Material yake inakuwaje? Onana na dr wa ngozi ama brast surgeon usikie atasemaje.
 
Ukivaa bra chuchu isimamishe, ikilala upande itawasha kama una chuchu za kimasai lakini.
 
Back
Top Bottom