eti ya kweli

eti ya kweli

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
eti mwanamke akiwa amekuzoea sana mara ghafla bila sababu ukimsalimia haitikii wala hakusalimii kama mwanzo eti mara nyingi kisa huwa alikuwa anataka dushelele au kugegedwa bt we umeonekana hueleweki so anakuchukia je ni Kweli?
 
]eti mwanamke [/B]akiwa amekuzoea sana mara ghafla bila sababu ukimsalimia haitikii wala hakusalimii kama mwanzo eti mara nyingi kisa huwa alikuwa anataka dushelele au kugegedwa bt we umeonekana hueleweki so anakuchukia je ni Kweli?

Kwa kuuliza huu kwa staili ya kutanguliza neno "eti" nalazimika kuamini kuwa hata wewe mwenyewe uliyeandika uzi huu, hauamini wala kukubali kile ulichokisikia! Sasa sisi wadau tutajibu nini?
 
kha ina maana atakuwa ameshaliona kwa hyo kakasirika kulikosa au?tatizo lenu wanaume mwanake akiwachamgamkia tu mnamishia fahamu kwenye zipu za sarawili.hivi kweli wanaume ni wa shida to such extent?
 

yani akae na mdada wa watu
kila siku anajiremba na manukano anajipulizia lkn wapi lazima anune,bora hata amwambie i love u ya uongo!!

 
Ukianza swali na ETI nachelea kukufananisha na nyoka pale bustani ya Edeni, "Eti, Mungu aliwaambia..."
 
kha ina maana atakuwa ameshaliona kwa hyo kakasirika kulikosa au?tatizo lenu wanaume mwanake akiwachamgamkia tu mnamishia fahamu kwenye zipu za sarawili.hivi kweli wanaume ni wa shida to such extent?

sio wanaume ni wa shida bali aina ya mwanaume ambaya anahitaji huyo mwanamke ndo inaweza kuwa shida
 
Ni kweli, kama ni mie nkikuona nakuponda na jiwe kabisa!!!!!!
kama ulijua shida yake ni dushe kwanini usimpe?
 
kaaaaazi kweli kweli.......ngoja tu nipite niwaachie wakubwa wa mambo haya
 
maswali yanayoanza na "eti" ni maswali ya kishetani refer bustani ya Edeni
Kwa kuuliza huu kwa staili ya kutanguliza neno "eti" nalazimika kuamini kuwa hata wewe mwenyewe uliyeandika uzi huu, hauamini wala kukubali kile ulichokisikia! Sasa sisi wadau tutajibu nini?
 
Back
Top Bottom