Nampenda huyu mwanamke kuliko chochote hapa duniani!!

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama alitupigania kwa kila hali,iwe ni wakati wa shida au wa raha akutuacha hata cku moja.

Kila siku najiona nina wajibu wa kumfanya awe na furaha kila siku,sipendi kumkwaza huyu mwanamke jaman,nampenda kuliko wanawake wote duniani,leo asubuhi na mapema nimempigia cm nikagundua kuwa hapatikani nikahisi yuko church, nikajiskia vibaya sana mana nilikuwa na hamu ya kumwambie nampenda na nathamini mchango wake, baadae nikampigia nikampata nikamwambia nampenda sana na nashukuru kwa yote aliyonitendea toka utoto wangu hadi nilipofika sasa.pia nikamwambia ninammic sana mana yuko mkoa mwingine na mimi niko mkoa mwingine mbali,Kwa kweli mama yangu amefurahi sana kupita kiasi nilipomweleza.

jamani nampenda sana mama yangu kuliko chochote na pia nauthamini sana mchango wake,sipendi kumuona katika hali ya huzuni hata siku moja na hata cm sipendi anipigie ila napenda kuwa wa kwanza kumpigia kabla hajapiga,imefikia mahali siwezi kupitisha hata cku mbili bila kumpigia mana nisipompigia cku mbili lazima atanipigia na kuuliza unaumwa?

Napenda kuwashauri wana jamvi wenzangu tuwe na tabia ya ku appreciate michango ya wazazi wetu au walezi wetu hata kama hatuna chochote cha kuwapa tukisema asante tu inatosha kuwafanya wawe happy na wazidi kutupenda zaidi!

Nawasilisha!
 
Usipompenda mama yako utampenda wa nani?? Mama yako ni mama yako tu hata awe chizi.
 
missa uliyoyasema yote utafikiri umeyatoa moyoni mwangu siku zote namwomba Mungu anipe roho aliyonayo mama angu kwa kweli hakuna kama MAMA.
 
Last edited by a moderator:
::
Amheshimue Mama yake huyo huimarisha misingi ya nyumba yake bali anae mdharu Mama yake huibomoa nyumba yake mwenyewe.
=
 
ahsante kwa ushauri mzuri sana, nimesoma hii thread kwa makini nimegundua mama ni mtu wa thamani sana katika misha yetu. i love my mumy na baada ya kumaliza kusoma nikakumbuka jisnsi mama alivyoteseka juu yetu akinyanyaswa sana katika ndoa na siku zote alisema navumilia kwa sababu wanangu bado wadogo nikiondoka watateseka.
 
Kwa vile tunawapenda na kuwathamini sasa mama zetu, basi tujitaidi pia kuwaheshimu namkuwaumilia mama za wenzetu hasa mama wakwe. Najua wanawake wengi wana matatizo na mama mkwe zao na naomba niwaelekeze kitu kimoja, wamama huwa na mapenzi sana na watoto wao wa kiume thats why wakioa wamama hudhani kuwa upendo wa watoto wao utapungua. Kwa hiyo kama wewe mwanamke unapata matatizo kwa mama mkwe , tafadhali vumilia, mheshimu na umuoneshe mapenzi hata kama yeye hakupendi just do it for your God.
 
Wacha upendeleo! Kwani huko alikokuwa babaako akitafuta maisha hakuleta chochote nyumbani? Baba alikufukuza nyumbani au alikukataa kuwa wewe si mwanawe? Hata baba alikupenda sana pia. Nyie watoto wa kiume mnathamini upendo wa mama zaidi ya wa baba. Kwa nini? Halafu ni ajabu. Wababa wanathaminiwa na mabinti zao zaidi.Hili nimeliona
kwenye familia nyingi sana. Mtoto wa kwanza wa mjombaangu ni mwanaume, wa pili ni msichana. Huyu mtoto wa kiume
hana habari na babaake, lakini huyu wa kike, lo! suti zote anazovaa mjomba ni binti anamnunulia!Huyu wa kiume atamchukua babaake wataenda baa, watakunywa bia mbili tatu: ndo mwisho wab stori!Sisi wababa kwa namna fulani hivi tunapunjika!
 
Tunawapenda mama zetu sana tu lakini wana-saikolojia hebu niambieni .....wanawake hao hao ambao ni mama zetu hawapendi wanaume wanaopenda mama zao......i might be wrong though.Hebu nijuzeni hili

CC missa,The secretary
 
Kwakeli hii msg yako imenigusa sana mimi ni mmoja wapo wa watoto niliye shuhudia baba akimwazibu mama, akitoka huko kwenye pombe zake usiku kwakeli siku zote naoma sana MUNGU anipatiye chumba,mke ambaye hatonifanya nichukuwe roho na uwamuzi kama wa baba yangu ndio maana mpaka sasa hivi niko maisha bado ya kuto sattle down sababu hiyo ikiwa ni moja wapo, MUNGU wangu naomba nisaidiye AMINA....
 
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama alitupigania kwa kila hali,iwe ni wakati wa shida au wa raha akutuacha hata cku moja.

Kila siku najiona nina wajibu wa kumfanya awe na furaha kila siku,sipendi kumkwaza huyu mwanamke jaman,nampenda kuliko wanawake wote duniani,leo asubuhi na mapema nimempigia cm nikagundua kuwa hapatikani nikahisi yuko church, nikajiskia vibaya sana mana nilikuwa na hamu ya kumwambie nampenda na nathamini mchango wake, baadae nikampigia nikampata nikamwambia nampenda sana na nashukuru kwa yote aliyonitendea toka utoto wangu hadi nilipofika sasa.pia nikamwambia ninammic sana mana yuko mkoa mwingine na mimi niko mkoa mwingine mbali,Kwa kweli mama yangu amefurahi sana kupita kiasi nilipomweleza.

jamani nampenda sana mama yangu kuliko chochote na pia nauthamini sana mchango wake,sipendi kumuona katika hali ya huzuni hata siku moja na hata cm sipendi anipigie ila napenda kuwa wa kwanza kumpigia kabla hajapiga,imefikia mahali siwezi kupitisha hata cku mbili bila kumpigia mana nisipompigia cku mbili lazima atanipigia na kuuliza unaumwa?

Napenda kuwashauri wana jamvi wenzangu tuwe na tabia ya ku appreciate michango ya wazazi wetu au walezi wetu hata kama hatuna chochote cha kuwapa tukisema asante tu inatosha kuwafanya wawe happy na wazidi kutupenda zaidi!

Nawasilisha!
Daaah hata mimi nampenda bi mkubwa wangu kinoooma mpaka najihusigi kwamba ni mama's boy kiaina i would do anything for her na nafurahi kwamba she also knows that..even though huwa simwambiagi na vitu kama hivyo amenisaidia kunifanya niwe a good man..misimamo ushauri daaah vitu vingi daaah i love you mama lyamber..!! Over..swali la kizushi mimisa ww wakike ama?
 
dada missa kw kwl mama ndo kila ki2 yaan nampend kuliko m2 yeyote chin ya dunia hii.I LOVE A LOT MY MOM
 
Back
Top Bottom