Nalijua hilo namim naumia

Nalijua hilo namim naumia

MankaM

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
9,448
Reaction score
3,073
Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi.
Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana anateswa na kutendwa mara kwa mara na mpenz wake na wakiachana wanatukana na kutoleana kashfa lakin baada ya siku hata wiki haiishi wanarudiana huwa naumia sana coz rafik yangu anadhalilishwa sana lakin hata uongee vip haelewi na mda mwingine anakusikiliza hasemi kitu namuona kama mtumwa wa mapenz, naumia kama mim ndo nafanyiwa hivo vitendo lakin sina jins inafika kipind naamua kumpotezea hata akinambia matatizo yake lakin daaa mwisho wa siku naishia kuumia tu jaman haya mapenz ya chuo me siyaelew kabisa yan wadau nisaidien hapo hili swala husababishwa na nin kudharirishana afu mtu bado anarud na wanaendelea kuwa wapenz ni kwamba anampenda sanaaaaa au...
 
Nadhani unaumia sababu umeweka emotions nyingi sana kwa huyo rafiki yako.
Wewe na yeye ni watu tofauti. unachoona kama kudhalilishwa kwake ni sawa
Unachoonoa ugomvi yeye kwake anaona kama ndio viuongo vya kuweka ladha
jaribu kupunguza hisia zako na kukubali mtazamo wake wa relationship yake
Usiwahukumu kwa kutumia standards zako wewe, ni mapenzi yao wenywe
 
hayo ndio mapenzi kaa kimya watu waishi...
 
Penzi la mwenzio lakusononesha nini????????????????????????????? Hayo ni maisha yao rafiki tena usipojihami watakuona wewe ndio kidudu mtu wa penzi lao.....Nani alikuambia yote anayokueleza ametendewa, hasira inaweza kumfanya mtu aropoke uongo. Take care ma people and mind your business.
 
daaa hapo nimekuelewa vilivyo aisee nafuata ushaur wako
 
Nadhani unaumia sababu umeweka emotions nyingi sana kwa huyo rafiki yako.
Wewe na yeye ni watu tofauti. unachoona kama kudhalilishwa kwake ni sawa
Unachoonoa ugomvi yeye kwake anaona kama ndio viuongo vya kuweka ladha
jaribu kupunguza hisia zako na kukubali mtazamo wake wa relationship yake
Usiwahukumu kwa kutumia standards zako wewe, ni mapenzi yao wenywe

Mwali nimekuelewa na pia nimejifunza aisee ngoja namim nishike yangu
 
Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi.
Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana anateswa na kutendwa mara kwa mara na mpenz wake na wakiachana wanatukana na kutoleana kashfa lakin baada ya siku hata wiki haiishi wanarudiana huwa naumia sana coz rafik yangu anadhalilishwa sana lakin hata uongee vip haelewi na mda mwingine anakusikiliza hasemi kitu namuona kama mtumwa wa mapenz, naumia kama mim ndo nafanyiwa hivo vitendo lakin sina jins inafika kipind naamua kumpotezea hata akinambia matatizo yake lakin daaa mwisho wa siku naishia kuumia tu jaman haya mapenz ya chuo me siyaelew kabisa yan wadau nisaidien hapo hili swala husababishwa na nin kudharirishana afu mtu bado anarud na wanaendelea kuwa wapenz ni kwamba anampenda sanaaaaa au...

Kuna wimbo mmoja wa zamani sana unaimbwa hivi ...
Bibi na bwana wakigombana nyumbaniiiii, waaaaache wenyewe, mpaka wakielewanaaaaaa, lakini suiwaingilieeeeee, wakipatana, utakuja kubaki na aibuuuuuu eheeeeee mtoto wa mama!
 
Back
Top Bottom