Mume wako ananitaka

Status
Not open for further replies.

MPENZI no 3

Member
Jun 23, 2013
9
11
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent
 
Hahah mume wa grace mchovu nn?hana mahela ya kukuhonga angekuwa nazo wala usingekuja huku kumweleza grace,ila wanaume wachovu hawana mvuto aisee,mwenyewe ana boxer 1 ww atakupa nn?wanajiaibisha kutokea warembo ilhal wamechokaaaa

unaona mwenzako anamkataa mme wa mtu.ingekuwa wewe ungekataa?Grace mbona wapo wengi?
 
mmmhhh kuna watu huwa wanapokuwa wanatoa stress wanafurahisha sana haya mpezi no3 tumikusikia mama/baba..
 
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent

Kama umevumilia na umechoka, mpe apige tu! na mie nasema mpe apige tu, tena kama umechoka kabisa kuvumilia mpe apige na Kabaaang! kwani nini bana!! After all zote hazina speed meter!
 
Kwikwikwi mie nimeacha bana,nimekutana na kijana mwenzangu ananipenda balaa sema naogoga kujiweka mazima kwani men hawaaminiki
unaona mwenzako anamkataa mme wa mtu.ingekuwa wewe ungekataa?Grace mbona wapo wengi?
 
GRACE popote ulipo ujue kuwa mume wako ananitaka,nimevumilia vya kutosha,nimemkanya hasikii,
Message sent
Nimegairi sikutaki tena Grace mke wangu kuwa na amani ...... huyu ndio alikua akinitega nanimeyashinda majaribu
 
japo naumwa lkn ngoja nipunguze maumivu.

Hivi wewe bibie kujitia hashuo la kwapa kunuka pasi kidonda kitu gani??
eti mume wangu anakutaka..........anakutaka unamtaka??
kumbe kukataliwa kubaya enh!!
sasa jua hii ngoma si ya kitoto hapa lazima ikeshe, na kama ulikuja na moja basi hapa lazima uondoke na kumi na moja.

usijibaraguze mie najua mpaka ulomtuma aje akubembelezee na kwa taarifa yako, ulipojitongezesha aliniambia yote na mie kwakua sina hiyana nimemruhusu akuonyeshe shughuli yake.
 
hatuwataki waume zenu bana...kwanza wamejichokea mvuto ziro madeni kila benk full stress....watuache tupumue
 
hamuwataki ama mnajua kwamba ni ngumu kuwapata??
imagine mwanaume ukutanapo nae unauhakika kwamba ni msafi, wallet inasoma na hana shida manake nyumban kaacha mambo safi wafikiri utamkataa?? ishu ipo kwa hao mnaowaitta MARIO hao hata Kibonde kawasema leo. wanakaa kusubiri muwaveshe, muwalishe na pakulala juu. mwanaume hata ndevu hawez kujinyoa wafikiri utahangaika nae??
siku zote mwanume mwenye mke anajulikana hata aketipo kwenye vikao vya bia.
cc Dark City Mtambuzi, Asprin, Kaizer, Mzee wa Rula paka jimmy na wanaume wooote waliooa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom