Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Kwanza kabisa naomba kuwapa pole kwa shuguli za kila cku za kutafutia familia zetu mkate wa kila cku.pili naomba kuwapa ushauri juu ya kutii viapo vyetu vya ndoa,familia nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa kukosa utii juu ya viapo vyao hii upelekea kutoka nje ya ndoa kwa kutafuta mke au mme wa pembeni,wapendwa watu hawa wa pembeni huwezi jua kusudi lao la kutaka kuwa na wewe kimausiano. Kwa asilimia kubwa wamechangia matatizo makubwa ktk familia zetu,hivyo ni bora kurizika na wake/waume zetu ili kuepusha migogoro na kuyumbisha familia zetu,tujikite kuomba ili kuepusha majalibu,mungu awabariki.'mimi,wewe na yule tuheshimu sana hili na tumwombe mungu atupe busara,hekima ktk kutii viapo vyetu vya ndoa.