Hata wanyama?

Hata wanyama?

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,041
Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia
 
Kwan wanyama nao wanadhambi? Au tuwaelimishe nao waache hayo matendo?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kama hiyo waona hatari,hebu jaribu siku moja kucheki kwenye (animalpost.com) uone binadamu alipofikia.
 
Hii ni kawaida kwa wanyama ukiwaweka pamoja bila kuwa na jinsi tofauti. Hata ng'ombe hufanya hivyo. Ndo maana kawaida tunafuga jinsi tofauti au tunawafungulia wakutane na jinsi tofauti. Kumbuka shule ambazo si co
 
Nadhani umekosea na hujui wanyama dume yupi na jike yupi,hakuna hata mnyama mmoja anaeweza kumuingilia mnyama mwenzake wa jinsia moja,na hakuna wala hutawaona,huyo mbwa uliomkuta anaingiliwa ni mbwa jike huyo ,hakuna wala haitatokea
 
....inatokea, mi pia nshaona ng'ombe hata majogoo pia, bt nashukuru hawakufanikiwa!!!!!!
 
Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia

Enzi zile alibebwa nuhu na wanyama, sahivi hakuna wa kubebwa wote kiberiti kama sio maji.....
 
Back
Top Bottom