Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kweli weekenddays tunavaa simple.. lkn singlands huku vikwapa vinatoa uvundo mmhh. ukigeuka huku kikwapa.. ukigeuka huku jamaa mdomo mhh... sasa wajameni tujitahidini kuwa na katabia ka usafi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
...na hii hawahusu wafanya mzaha na matatizo ya wenzenu. Ni hivi; leo kwa mara ya kwanza nimeshawishika na nikakamatwa hasa kucheza mechi ya mchangani. Tatizo sikuwa na pesa ya kutosha -...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilipata kusikia mazungumzo ya wanawake fulani,tena ni wasomi na wenye fedha zao,baadhi wakisema kua mwanaume bahili ni mzuri kua Mume kwa sababu hana tabia ya kuhonga honga wanawake/vimada na...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wana Jf, Leo nataka tuongelee tendo la ndoa. Kwa kawaida tendo hili linafanywa kwa maandaliz mengi tukianzia na usafi wa miili. Ukurupukaji wa ku do ndo hufanya kuchukiana na kuoneana kinyaa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Los Angeles (CNN) -- A southern California woman convicted of cutting off the penis of her then-husband and throwing it into a garbage disposal was given a life sentence Friday with the...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
WApendwa nimewamiss sanaaaaaaaaaaaaaa,kilimo cha jembe la mkono kitaniua mwenzenu nimetimiza miaka kadhaa nazidi kuwa bibi jamani,namshukru Mungu kuniwezesha kuiona siku ya leo.Napokea zawadi...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
waungwana, napenda kuuliza ni kwanini baadhi ya wanawake au wasichana wakimsalimia au kumpa mkono mwanaume uchuchumaa kidogo na kunyanyuka? kitendo hiki kina maanisha nini?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari mi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, nina mpz nje ya ndoa yangu ambaye anakaa kwao. nimekuwa na uhusiano nae kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa; sijawahi kwenda nae kupima...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Alikuwa ni mke mtarajiwa wa one of my best friends...baada ya rafiki yangu kuhangaika sana kutafuta atakaemfaa ndo akaangukia kwa huyu dada. At first, the girl was good, too humble na kiukweli...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
mdada aliyekuwa free hapa dodoma, aniPM namba yake tutafutane, am lonely, niko serious
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Hemu sikilizahuu wimbo ameimba Saada Nassor taarab unaitwa (Nidhibiti) Niiinyweshe huba mpenzi Ninyweshe niiburudiIIke , Niiirovye yako mapenzi nirove niii rowanike. Uniiiiienzi , UNIENZIII...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
  • Closed
Mambo vipi wanajamvi wenzangu, hope mnaendelea vizuri kabisa pia kwa wale wakazi wenzangu wa jiji la DSM nafahamu kwamba tupo katika maandalizi ya kumpokea rais wa dunia Barack Obama na ujio wake...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU. Nimekua najiuliza mara nyingii hivi jukumu la kulea watoto ni la nani kwenye ndoa. Maana nimeona mara nyingi hap MMU wanaume wanatoa visingizio vya kutoka nje ya ndoa eti...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama hujui, wanaume ni wambea zaidi ya wanawake, tofauti ni kwamba wao hawasutani hadharani! Katika jamii yoyote mtu mwenye tabia ya umbea huchukiwa, hutengwa na hata wakati mwingine hupigwa...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
  • Closed
Samahanini najua wengine nitawakwaza ila nisamehe km itakuumiza Mi nawahesabu wanawake 99% akili zao ni finyu ndio wakawa wanaume wanawatumia na kuwachezea kisha kuwatosa kwa ufinyu wa akili zao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ama kweli wadada wengine wazuri lkn tbia zao mbaya leo nimeenda kwa rafiki yangu kumsalimia anumwa nimemkuta demu wake amekaa pemben akiangalia move za x uku jamaa akilalamika anaitaji chakula...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi nikijana wa kitanzania naishi MOSHI najitokeza kutafuta mwanamke atakae kuwa mke wangu. plc aliye tayari naomba tuwasiliane nko sirious sitanii . SIFA ZANGU UMRI: MIAKA 30 ELIMU: CHUO KIKUU...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuwa na marafiki wenye upeo na makamanda, tubadilishane fikra kwa ukombozi wa pili wa TANZANIA. SMS 0789803484
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…