Sing lands na harufu ya vikwapa kwenye daladala mmhhh

Sing lands na harufu ya vikwapa kwenye daladala mmhhh

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Jamani kweli weekenddays tunavaa simple.. lkn singlands huku vikwapa vinatoa uvundo mmhh.

ukigeuka huku kikwapa.. ukigeuka huku jamaa mdomo mhh...
sasa wajameni tujitahidini kuwa na katabia ka usafi
 
usinikumbushe machungu nilishakuwa na mteja akiingia ofc nzima inageuka uozo.
Mbaya zaidi alikuwa anataka ahudumiwe na mie kila cku.
He was one of our potential customers.
Sasa nlilazimika kuwa nakatisha maongezi sana nae pia kubana pumzi natoka nje kupumua .
Khaaaa nlikuwa kwa wakati mgumu sana cjui alitumwa hataki mtu yoyote zaidi yangu.
Kumwambia nashindwa nitamfukuza mteja naishia kubana pumzi tu.
Kweli kuajiriwa utumwa jamani.
 
kweli wanaboa maana ukute wameloa majasho halafu mnakaa siti moja kwenye mabasi hawajui hayo mavazi yanatakiwa yavaliwe sehemu gani
 
vikwapa vina raha yake sometimes bana kitu natural
 
Halafu ukute kwapa lenyewe lina nywele za njanooooooooo utazani blonde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom