Hivi hawa wanawake wanaakili kweli

Hivi hawa wanawake wanaakili kweli

Status
Not open for further replies.

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Samahanini najua wengine nitawakwaza ila nisamehe km itakuumiza

Mi nawahesabu wanawake 99% akili zao ni finyu ndio wakawa wanaume wanawatumia na kuwachezea kisha kuwatosa kwa ufinyu wa akili zao hakuna mwanaume anaopenda mwanamke mcharuko ila wanawake wanaona biashara ni matangazo hahahaha wamechemka hawa wanawake na wasipoangalia itakula kwao

Nasema haya kwa wanawake wanahisi kuvaa nusu uchi au kutembea uchi kabisa ndio watapenda na kua na soko mbona wanaume hawafanyi hivyo hata uvae chupi tupu ataekutokea kwa kutembea kwako uchi huyo basi kakutamani akishakukamua tuu anasepa kukimbia majanga kwanai hata akikuowa anajua ww si mke mwema.

Uzuri wa mwanamke si kutembea uchi unaweza kupendeza hata ukivaa nguo za stara hebu angalia hizi picha nani anaonekana kupendeza zaidi?

Sijawaona wanaume wakiacha wazi sehemu za miili yao km wanawake
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372533499252.jpg
    uploadfromtaptalk1372533499252.jpg
    62.9 KB · Views: 243
  • uploadfromtaptalk1372533526115.jpg
    uploadfromtaptalk1372533526115.jpg
    18.4 KB · Views: 208
  • uploadfromtaptalk1372533561653.jpg
    uploadfromtaptalk1372533561653.jpg
    19.6 KB · Views: 205
  • uploadfromtaptalk1372533661886.jpg
    uploadfromtaptalk1372533661886.jpg
    11.6 KB · Views: 195
  • uploadfromtaptalk1372533707557.jpg
    uploadfromtaptalk1372533707557.jpg
    24.3 KB · Views: 202
  • uploadfromtaptalk1372533738433.jpg
    uploadfromtaptalk1372533738433.jpg
    35.4 KB · Views: 193
Wengine wanahitaji kusaidiwa KISAIKOLOJIA mkuu rather than kuwalaumu....Low self estem
 
Hawa mi nasema labda akili zao ziko kule kunakostiriwa na under ware tuu ila ubongo ulioko kichwani ni km pambo
 
Wanawake ni "wapumbavu" by default. Anapozidi kuelimika ndivyo upumbavu unavyoongezeka.

Hawana tofauti na mtoto mdogo. Haiwezekani kiumbe mwenye akili timamu uvae nguo nusu uchi.

Hawa wanahitaji bakora tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom