Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Wana Jf,
Leo nataka tuongelee tendo la ndoa. Kwa kawaida tendo hili linafanywa kwa maandaliz mengi tukianzia na usafi wa miili. Ukurupukaji wa ku do ndo hufanya kuchukiana na kuoneana kinyaa. Kama unajua mnafanya, jiweke safi ili mwenza wako asichoshwe na mazingira yako. Huku kutafanya awe huru hata kukulamba mwili mzima. Huwa naita kumwagia asali na kuruhusu ulimi upite maeneo yote yanayotia genye.
Kwa ufupi hutakiwi kumuonea kinyaa mpenzi wako wakat wa tendo na kama kunavitu vinasabasha hvyo muweke wazi atajirekebisha na utalifaidi tendo.