Thank you lord it's ma birthday...........!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!!!!!!!

Asnam

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
4,256
Reaction score
2,949
WApendwa nimewamiss sanaaaaaaaaaaaaaa,kilimo cha jembe la mkono kitaniua mwenzenu nimetimiza miaka kadhaa nazidi kuwa bibi jamani,namshukru Mungu kuniwezesha kuiona siku ya leo.Napokea zawadi kuanzia sasa your warmly welcomed kijijini kwetu walau mnisaidie kupalilia ili kudhihirisha upendo wenu wa agape kwangu siku hii special. MOLA NIJALIE MIAKA MINGINE MINGIIIIIIIIIII NIONE MWISHO WA MADINI YETU HAPA NCHINI NA GESI ITAKUWAJE....

I LOVE YOU ALL.
 
Heri ya siku ya kuzaliwa. Mungu aendelee kukupa uzima na afya.
 
WApendwa nimewamiss sanaaaaaaaaaaaaaa,kilimo cha jembe la mkono kitaniua mwenzenu nimetimiza miaka kadhaa nazidi kuwa bibi jamani,namshukru Mungu kuniwezesha kuiona siku ya leo.Napokea zawadi kuanzia sasa your warmly welcomed kijijini kwetu walau mnisaidie kupalilia ili kudhihirisha upendo wenu wa agape kwangu siku hii special. MOLA NIJALIE MIAKA MINGINE MINGIIIIIIIIIII NIONE MWISHO WA MADINI YETU HAPA NCHINI NA GESI ITAKUWAJE....

I LOVE YOU ALL.
happy birthday mpendwa, Mungu akupe umri mrefu uone mengi, lakini akuepushie na shida za dunia, akuongoze katika kila jambo la kheri, ameen..
 
Asnam mdogo wangu kipenzi! nikutakie heri na fanaka siku yako hii ya kuzaliwa. Mungu akupiganie na kuzidi kukupa mema ya nchi leo na siku nyingi zijazo.

BTW Mentor misses you a lot!!!!

Lots of love,
Big bro.
 
Last edited by a moderator:

amina mpendwa,ubarikiwe
 
Asnam mdogo wangu kipenzi! nikutakie heri na fanaka siku yako hii ya kuzaliwa. Mungu akupiganie na kuzidi kukupa mema ya nchi leo na siku nyingi zijazo.

BTW Mentor misses you a lot!!!!

Lots of love,
Big bro.

nashukru sana bro,ubarikiwe........long time no see,miss you toooooooooooo
 
Wow Asnam kumbe leo una bday hapoy bday

Ndo.mana maneno mengi sana kule kwen uzi wa Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
^^
Asnam
Mungu akubariki mpaka adui zako washindwe kutembea
^^
 
Last edited by a moderator:
Heri ya Kumbukumbu ya kuzaliwa Asnam
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom