Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
...na hii hawahusu wafanya mzaha na matatizo ya wenzenu. Ni hivi; leo kwa mara ya kwanza nimeshawishika na nikakamatwa hasa kucheza mechi ya mchangani. Tatizo sikuwa na pesa ya kutosha - natarajia kuwa kesho nitapata mshahara - kwa hiyo nikabomu mahali 50K. Kutokana na hali hiyo nikatafuta mahali pa gharama nafuu (sina uzoefu na sehemu za namna hiyo hapa Arusha maana nimehamia 2009) kwa kushauriwa na mkongwe mmoja ambae ni rafiki yangu.
Basi nikaonyeshwa sehemu karibu na ofisi za Kilimanjaro Express - sikumbuki jina, ila ni mtaa wa pili adjacent na ofisi za Kilimanjaro Express - ambapo kuna bar na 'gesti housi' rate zao ni Tshs 15,000 kwa chumba self. Nikapaangalia na hapakuwa pabaya sana given the circumstances. Tatizo ni kuwa baada ya shughuli - na ilikuwa fupi maana nina tabia ya kuwa home by saa mbili - mlango haufunguki. Inaonekana kuwa funguo za kitasa zinafanya kazi kwa nje ila si kwa ndani. Kuna muziki mkubwa hapo baa, mhudumu hasikii kugonga kwangu mlango. Naadhirika waungwana, hivi kesho nikirudi home nisemeje? Na kamchina kangu kanaisha charge, je mdau akianza kupiga na simu haipatikani - hapa ku-attract attention ya wahudumu ni mpaka baa ifungwe muziki uzimwe (na mitaa hii kwa leo ijumaa hii wanaweza kukesha) nitajielezaje????
NIMEKOMA!
Updates
Nilirudi nyumbani about 3 am. Sina uhakika kama mdau ni member hapa JF, ila naamini hajui username yangu hapa. Nilikuta -suprisingly - akiwa mpole kuliko kawaida yake (sasa sijui kasoma post yangu au la ila naanza ku-question busara yangu ya kuomba ushauri hapa).
Kwa sababu hii nimejipiga BAN tangu nilipowaandikia ili kupima upepo. ILA KUSEMA UKWELI NIMEKOMA, ujinga nilioufanya SIUFANYI TENA. Na mdau kama umenigundua basi amini kuwa nimejuta kiukweli, SIRUDII KABISA.
Asanteni mlionipa ushauri hata kejeri pia! Ila nimepata fundisho la ukweli.