good motto
Hapo umenena ni kukumbushana tu...utekelezaji ndio kazi na ufanikishaji ndo next to impossibleTuna kumbushana na kujengana tu mkuu.
Nashukuru kwakuwa hujasema haiwezekani lakini mimi naamini inawezekana tukishinda majaribu na kufanya kilicho sahihi.
Umeoa?Nashukuru kwakuwa hujasema haiwezekani lakini mimi naamini inawezekana tukishinda majaribu na kufanya kilicho sahihi.
Kwanini isiwezekane kama tumedhamiria? Mimi nadhani ni jambo la muhimu kuangalia familia yako na kuiheshimu na kumpenda mke wako nafikiri ni kitu chenye heshima hiko.
Niambe kwanza kwanini umeamua kuniuliza hilo swali?