brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
Kenya imependekeza sheria mpya ya ndoa. Ukishindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mtu uliemuahidi unapelekwa mahakamani kushitakiwa na ndoa zaidi ya mke mmoja zitatambuliwa iwapo mume atathibitisha kupata ruhusa ya kimaandishi kutoka kwa mke wa awali.
Source: Bbc dira ya dunia
Source: Bbc dira ya dunia