mgumuuuuu......

mgumuuuuu......

mtakama

New Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
1
Reaction score
0
mimi na mpenzi wangu tunapendana sana lakin nikiomba haki yangu hataki kunipa....nifanye je....?????????
 
Mugumu ni mji mmoja kule Mara, labda kakulia huko
 
kwani umemuoa? hiyo inaitwa haki ya ndoa siyo haki ya wazinzi.
ukimuoa akakunyima una haki ya kumshitak ata kwa wazaz wake lakin kwa sasa hiv labda ukamshtaki kwa SHETANI.
mim siwez kukushauri uzinzi tena aendelee hivo hivo kukunyima adi utakapooa.
UNAITAJI MAOMBI.
 
Vumilia huku ukiendelea kuomba, ipo siku ataamua kukupa kwa raha zako.



mimi na mpenzi wangu tunapendana sana lakin nikiomba haki yangu hataki kunipa....nifanye je....?????????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom