afu we Mzee weweKuoa mwanamke asiye na bikra ni sawa na kula makapi.
aiseee wenginr vichwa wanafugia nywele ,hata sikumoja vidole havilingani wako wanaume hawataki kusikia bikra
kizazi hiki na bikra wapi na wapi?
hv kwenye kichwa yako hakuna kitu kingine unachokithamini zaid ya bikra!
napata shida sana na thread zako
kuna mawili,its either hujawahi kutia bikra ,kiasi unaamini waliooa wanawake walio bikra wana bahati sana!
au uelewa wako juu ya bikra ya mtu au mwanamke na kuwa thamani ya mtu huyo havilingani bado ina shaka
kimsingi nachelea yote mawili yanakwenda pamoja!
ubikira ni zaid ya kutolewa kizinda i see!
GROW UP!

Ulishaambiwa kutoa bikira wasichana tofauti ni sifa!Tunachosisitiza ni maadili kuinuliwa maana kwa sasa yameporomoka drastically.Tunatakiwa kulea watoto wetu ktk maadili yanayompendeza bwana maana siku hizi watu wengi wanazani kuolewa bila bikira ni sifa.GROW UP MAN!